John Nditi

Infographics

Wasioendeleza vitalu uchimbaji madini hatarini kupokwa maeneo

MOROGORO: MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaagiza wawekezaji waliochukua vitalu vya uchimbaji madini kwa muda mrefu mkoani humo…

Soma Zaidi »
Jamii

Wananchi watakiwa kutoa taarifa utapeli mitandaoni

ARUSHA: WANANCHI wanaotapeliwa kwa njia ya mitandao ya simu wametakiwa kutoa taarifa polisi na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

BSS kufanyika Februari 28 Dar es Salaam

DAR ES SALAAAM: FAINALI ya shindano la kusaka vipaji nchini, Bongo Star Search (BSS), msimu wa 15, inatarajiwa kufanyika Februari…

Soma Zaidi »
Dini

Watakaowahi mashindano ya Quran kupewa zawadi

DAR ES SALAAM: MASHINDANO ya kusoma na kuhifadhi Quran yanayotarajia kufanyika Jumapili wiki hii yatawanufaisha washiriki 2000 huku bodaboda, bajaji…

Soma Zaidi »
Chaguzi

ACT kufanya kikao cha halmashauri kuu Jumapili

DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT – Wazalendo kimeeleza kuwa kitafanya kikao chake cha Halmashauri Kuu Februari 23, 2025 ukumbi…

Soma Zaidi »
Biashara

Madiwani Mtwara wapitisha rasimu bajeti ya bil 32/-

MTWARA: BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara limepitisha rasimu ya mpango wa bajeti ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »
Infographics

Serikali kuingiza bil 2.5/-uwindaji wa kitalii

DAR ES SALAAM: SERIKALI ya Tanzania inatarajia kuingiza Dola 968,000 sawa na Sh bilioni 2.5 na mapato mengine kama ada…

Soma Zaidi »
Infographics

Bodi ya Parole yaridhia msamaha wa wafungwa

ARUSHA: BODI ya Parole Taifa imeridhia wafungwa 118 kati ya 132 kunufaika msamaha wa vifungo kutokana na makosa mbalimbali waliyokutwa…

Soma Zaidi »
Jamii

Flora mbaroni kwa kuuza viwanja vya watu

MWANZA: JESHI la Polisi mkoani Mwanza, linamshikilia mwanamke mmoja anayejiita Flora Kasambala ambapo jina halisi anaitwa Bigister Mbowe ,42, kwa…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Madrid apewa Atletico, PSG na Liverpool Uefa

UFARANSA: REAL Madird imepagwa kucheza na Atletico Madrid katika mchezo wa 16 bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Liverpool itakutana na…

Soma Zaidi »
Back to top button