Na Mwandishi Wetu

Tanzania

Kokoto kuongeza mapato serikalini

NJOMBE: Mradi mkubwa wa uzalishaji wa kokoto uliopo mtaa wa Kambarage kata ya Njombe Mjini, unatarajiwa kuongeza upatikanaji wa kokoto…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mfumo uanagenzi kuboreshwa ili kukidhi mahitaji ya ajira

DAR ES SALAAM: Wadau wa maendeleo ya ujuzi wamepitia na kuthibitisha rasimu ya mwelekeo wa Uanagenzi Tanzania katika hatua inayolenga…

Soma Zaidi »
Jamii

Tanzania yaimarisha uchumi jumuishi kwa kuzingatia makundi yote

DAR ES SALAAM:TANZANIA imeendelea kupiga hatua katika kujenga uchumi jumuishi unaowashirikisha watu wote, wakiwemo watu wenye ulemavu, kupitia uwekezaji katika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanawake 26,000 wajitokeza msaada wa kisheria Ushetu

SHINYANGA: WANAWAKE zaidi ya 26,000 wamejitokeza kwenye kampeni ya awamu ya pili ya msaada wa kisheria kati ya wananchi 46,400…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanzania nafasi ya pili Afrika ubora mazao ya nyuki

TABORA: TANZANIA imeshika nafasi ya pili barani Afrika kwa ubora wa mazao ya nyuki hususani asali iliposhiriki maonesho yaliyofanyika Afrika…

Soma Zaidi »
Madini

Njombe kugeuka kitovu kipya cha madini nchini

NJOMBE: MKOA wa Njombe unatarajiwa kuwa kitovu kipya cha uchumi wa madini nchini kufuatia uwekezaji mkubwa katika miradi ya uchimbaji…

Soma Zaidi »
Jifunze Kiswahili

Jifunze Kiswahili

Birika la chai Meaning of “Birika la chai”,“Birika la chai” in Swahili means “tea kettle” or “teapot” in English.It refers…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanufaika wa mbolea Makete waanza kuvuna matokeo

MAKETE: Zaidi ya vijana 160 wa Wilaya ya Makete walionufaika na msaada wa mbolea bure kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Vipimo sahihi nguzo uchumi wa viwanda’

DODOMA :Serikali itaendelea kuimarisha mifumo ya vipimo nchini ili kuongeza ushindani wa bidhaa za ndani katika soko la kimataifa, kukuza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Takukuru Mtwara yafanikisha malipo ya Sh milioni 87.3

MTWARA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara imefanikisha malipo ya Sh milioni 87.3 za serikali katika…

Soma Zaidi »
Back to top button