Na Mwandishi Wetu

Siasa

Shakila Mpomo atwaa fomu ubunge viti maalum

Shakila Mpomo amechukua na kurejesha rasmi fomu ya kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalum kwa vijana Taifa kupitia Umoja…

Soma Zaidi »
Siasa

Nkoronko atwaa fomu ubunge Sumbawanga Mjini

SUMBAWANGA: MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mbonimpaye Ntiyonza Nkoronko amechukua rasmi fomu ya kugombea ubunge…

Soma Zaidi »
Siasa

Salome arudisha fomu ubunge Viti Maalum

SHINYANGA: ALIYEKUWA Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salome Makamba, amerudisha fomu ya kugombea nafasi…

Soma Zaidi »
Siasa

Nassari achukua fomu ubunge Arumeru Mashariki

MWANZA: ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Magu mkoani Mwanza, Joshua Nassari ni miongoni mwa wanachama 28 waliochukua fomu kuwania ubunge…

Soma Zaidi »
Siasa

Lukumay ajitosa ubunge Arumeru Magharibi

MWENYEKITI wa Chama Cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA), mfanyabiashara maarufu, na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elias Lukumay,…

Soma Zaidi »
Siasa

Mlawa aanza safari ya ubunge Kilolo

IRINGA: Mdau wa maendeleo Aidan Damian Mlawa amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania…

Soma Zaidi »
Siasa

Salome Makamba atwaa fomu ubunge uwakilishi wanawake

SHINYANGA: Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga, Salome Makamba amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama…

Soma Zaidi »
Tanzania

NGOs waagizwa mikakati utekelezaji miradi

MTWARA: MASHIRIKA mbalimbali yasiyo ya Kiserikali (NGOs) mkoani Mtwara yametakiwa kuanza kutengeneza mkakati wa kutumia mapato ya ndani ili kuzalisha…

Soma Zaidi »
Siasa

Gambo arudi tena, atwaa fomu ubunge Arusha Mjini

ARUSHA: IKIWA leo ni siku ya pili ya zoezi la uchukuaji wa fomu za kuwania ubunge na udiwani, aliyekuwa Mbunge…

Soma Zaidi »
Siasa

Festo Kiswaga ajitosa ubunge Isimani

IRINGA: ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, leo Juni 29, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button