Na Mwandishi Wetu

Tanzania

Islam Huwel aibuka Iringa Mjini, aahidi mapinduzi ya kiuchumi

IRINGA: Mjasiriamali na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Islam Huwel, leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania ubunge…

Soma Zaidi »
Siasa

Wakili aliyemtetea mjane nyama ya swala ajitosa ubunge Iringa Mjini

IRINGA: WAKILI wa kujitegemea na kada mwandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Moses Gwatengile Ambindwile, leo amechukua rasmi fomu ya…

Soma Zaidi »
Siasa

Kada CCM atwaa fomu ya udiwani Osunyai

ARUSHA: Katika kuhakikisha vijana nao hawapo nyuma katika uongozi, hatimaye kada maarufu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Osunyai,…

Soma Zaidi »
Siasa

Nyalusi autaka tena ubunge viti maalum Iringa

IRINGA: MBUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa anayemaliza muda wake, Nancy Nyalusi, amechukua rasmi…

Soma Zaidi »
Siasa

Mwanasheria autaka ubunge Muleba Kaskazini

MULEBA: KIONGOZI mwandamizi Chama cha Wanasheria (TLS) Mkoa wa Arusha, Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea ubunge Muleba…

Soma Zaidi »
Siasa

Anastazia atangaza nia Viti Maalum Udiwani Mbweni

DAR ES SALAAM: Anastazia Dinho, mkazi wa Malindi Estate, kata ya Mbweni, ametangaza nia ya kugombea udiwani wa viti maalum…

Soma Zaidi »
Siasa

Lowassa kutetea ubunge Monduli

ARUSHA: Kinyang’anyiro cha udiwani na ubunge kwa Mkoa wa Arusha kimeanza ambapo Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredy Lowassa amechukua…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Washindi ZIFF 2025 kujulikana kesho

ZANZIBAR: BAADA ya siku tano za hekaheka ndani ya Tamasha la Kimataifa la Filamu Zanzibar (ZIFF), msimu wa 28, tamasha…

Soma Zaidi »
Infographics

Tani 3,867 za ufuta zauzwa mnada wa tatu Mamcu

MTWARA: CHAMA Kikuu cha Ushirika cha Masasi Mtwara (MAMCU Ltd) mkoani Mtwara kimeuza tani 3,867 za ufuta kwenye mnada wake…

Soma Zaidi »
Siasa

Makongo achukua fomu ubunge Chato Kaskazini

CHATO: Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa fomu ya kuwania…

Soma Zaidi »
Back to top button