Na Mwandishi Wetu

Tanzania

TMA yatabiri kipupwe cha baridi ya wastani

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa taarifa ya msimu wa kipupwe katika kipindi cha Juni hadi Agosti 2023…

Soma Zaidi »
Tanzania

Tanesco yatenga trilioni 4.4/- miradi gridi imara

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema mpaka kufikia mwaka 2035 miradi mingi itakamilika hivyo kutakuwa na gridi imara. Akizungumza na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Samia: Tunzeni siri

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watunza kumbukumbu na nyaraka (TRAMPA) na makatibu mahsusi (TAPSEA) kuzingatia kiapo cha uaminifu katika kutunza…

Soma Zaidi »
Siasa

Awamu ya sita ni sikivu-Chongolo

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema Serikali ya Awamu ya Sita imekuwa sikivu kwa kutatua changamoto…

Soma Zaidi »
Africa

Washindi Shindano la Uongozi wa Vijana 2023 wapewa tuzo za ALF Accra

VIONGOZI vijana watano wametunukiwa tuzo katika hafla iliyofanyika wakati wa Kongamano la Uongozi wa Afrika (ALF), lilisimamiwa na aliyekuwa Rais…

Soma Zaidi »
Podcast

Habari Kuu Mei 26, 2023

Mkusanyiko wa Habari Kuu zilizotufikia katika chumba cha HabariLEO Mei 26, 2023

Soma Zaidi »
Siasa

Chongolo awatoa hofu watanzania katiba mpya

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametua mkoani Iringa kwa kishindo huku akiwatoa hofu watanzania kuhusu katiba…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Mbunge atoa tiketi 1,000 fainali shirikisho

BAADA ya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kutoa tiketi 5000 kwa ajili ya kuiona Yanga dhidi ya USM Alger…

Soma Zaidi »
Tanzania

Madiwani wamfuta kazi mwalimu mkuu

KIKAO cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara kimeazimia kumfukuza kazi mwalimu wa Shule…

Soma Zaidi »
Afya

RC Tanga aonya viongozi mamlaka yasiyowahusu

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Waziri Kindamba amepiga marufuku wanasiasa na viongozi kuacha kuwachukulia hatua za kinidhamu wauguzi, bali waviache…

Soma Zaidi »
Back to top button