Na Ester Takwa

Tanzania

Elimu yahitajika mabadiliko tabianchi

NAIBU Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Khamis Hamza Khamis amevitaka vyombo vya habari, taasisi na wadau wa…

Soma Zaidi »
Mahusiano

Amtoboa jicho mkewe wivu wa mapenzi

MWANAMKE mmoja Jackline Mnkonyi mwenye umri wa miaka 38 mkazi wa Sombetini jijini Arusha amekutana na kipigo kutoka kwa mume…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waagizwa kukamilisha miradi Dodoma

MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka Wakurugenzi na Wakuu wa Wilaya mkoani humo kukamilisha miradi yote kwa wakati…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vitabu 2700 kusaidia wanafunzi nchini

SERIKALI ya China imetoa msaada wa vitabu 2700 kwa shule za sekondari Tanzania kwa lengo la kuwezesha ufundishaji na ujifunzaji…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Tuzo kiungo bora sio inshu kwa Chama

KUINGO wa Simba, Clatous Chama amesema sio jambo kubwa kwake kutajwa kwenye orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya kiungo bora…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Salah haamini kukosa UEFA

NYOTA wa Liverpool ‘The Reds’ Mohamed Salah amesema “Nimefadhaishwa” ni baada ya timu hiyo kushindwa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Arsenal yatambulisha uzi mpya

KLABU ya Arsenal imetambulisha jezi zao mpya zitakazotumika   msimu wa Ligi Kuu England 2023/2024. Kampuni ya utengenezaji vifaa vya michezo,…

Soma Zaidi »
Siasa

Wamachinga wanaorejea maeneo yasio rasmi waonywa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa imesema hakuna namna wafanyabiashara ndogo (Wamachinga) walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi mjini Iringa wataachwa warudi…

Soma Zaidi »
Tanzania

UDSM waja na mtaala kilimo biashara

CHUO Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kupitia Shule Kuu ya Biashara waanzisha programu ya kufundisha mtaala wa kilimo ili…

Soma Zaidi »
Afya

Taasisi yapiga jeki huduma za afya

TAASISI ya Sukos Kova Foundation imetoa vifaa 15 vya kisasa vya kukusanya hewa ya oksijeni (Oxygen Concentrators and Oximeters) kwaajili…

Soma Zaidi »
Back to top button