

NAIBU Waziri Mkuu Dk Doto Biteko leo Machi 21 anatarajiwa kuhitimisha Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 30 Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufindi Stadi (VETA). Atahitimisha maadhimisho hayo jijini Dar es Salaam.
Add a comment