Afya

Mifuko ya Plastiki marufuku Muhimbili

UONGOZI wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa…

Soma Zaidi »

Imani potofu yachangia mimba zisizotarajiwa

TAKWIMU za umoja wa mataifa za mwaka 2022 ya Matarajio ya Idadi ya Watu Duniani imetaja, Afrika ya Mashariki  kuwa …

Soma Zaidi »

‘Saratani ya utumbo, koo zinakuja kasi’

MGANGA Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu amesema magonjwa yasiyoambukiza yanaongezeka kwa kazi ulimwenguni na kwamba Tanzania ni moja ya…

Soma Zaidi »

Mpango aitaka NEMC kusimamia katazo la mifuko ya plastiki

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ameliagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) na mamlaka za…

Soma Zaidi »

Wizara yajipanga kutokomeza ukatili

SERIKALI kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi, wananchi pamoja na wadau wamejipanga kutokomeza vitendo vya ukatili. Kauli hiyo Imetolewa na…

Soma Zaidi »

Serikali yaja na mkakati wa kukabili utoaji mimba ‘hatarishi’

SERIKALI imeainisha mikakati na juhudi zinazofanywa katika kukabiliana na changamoto dhidi ya utoaji mimba usio salama. Naibu Waziri wa Afya…

Soma Zaidi »

Serikali yaagiza uazishwaji wa programu ya malezi

SERIKALI imewaagiza wataalamu wa mipango na uuatibu katika sekretarieti za mikoa kuhakikisha wanatenga bajeti za utekelezaji wa Programu Jumuishi ya…

Soma Zaidi »

SIKU YA KIMATAIFA YA KUPINGA MATUMIZI YA TUMBAKU

Matumizi ya tumbaku, starehe yenye gharama MATUMIZI ya tumbaku yanatajwa kuwa miongoni mwa matishio makubwa ya afya ya umma. Kwa…

Soma Zaidi »

Wauguzi wafundwa kukabiliana na changamoto

WAUGUZI wametakiwa kuzikabili changamoto wanazokutana nazo kwa kufanya kazi kwa uaminifu, weledi na ushirikiano  mkubwa ili kutoa huduma bora kwa…

Soma Zaidi »

Utafiti: Asilimia 38 wenye VVU wana shinikizo la damu

ASILIMIA 38 ya watu wenye maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) wamebainika kuwa na ugonjwa wa shinikizo la damu, hali…

Soma Zaidi »
Back to top button