Afya

Wananchi kupatiwa matibabu ya dharura hospitali ya Nyang’hwale

HOSPITALI ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imekamilisha ujenzi wa jengo la dharura (EMD) liliojengwa kwa ufadhili wa…

Soma Zaidi »

Mwanaume changia damu mara 3 kwa mwaka inaruhusiwa

KATIKA kuadhimisha siku ya kuchangia damu Duniani,Mpango wa Damu Salama, Kanda ya Mashariki umesema mwanaume anaweza kuchangia damu mara tatu…

Soma Zaidi »

Wawili wapandikizwa uume

WANAUME wawili waliokuwa na matatizo ya  nguvu za kiume kutokana na matatizo mbali mbali ya kiafya, wamefanyiwa upasuaji na kupandikizwa…

Soma Zaidi »

Madaktari Uingereza waanza mgomo wa siku 3

UINGEREZA: MADAKTARI wadogo nchini Uingereza wameanza mgomo mapema leo wakionya kuwa kutakuwa na “athari kubwa katika utoaji huduma kwa wagonjwa”.…

Soma Zaidi »

Sh milioni 120 kujenga uzio kituo cha afya Bugarama

MGODI wa dhahabu wa Barrick Bulyanhulu uliopo Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama mkoani Shinyanga umetoa Sh milioni 120 kwaajili ya…

Soma Zaidi »

Hospitali yakabidhiwa gari ya wagonjwa

MBUNGE wa Jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham ametoa msaada wa gari jipya la kisasa aina ya Toyota…

Soma Zaidi »

Mila potofu zatajwa kukwamisha chanjo kwa watoto

MENEJA wa Mpango wa Chanjo Taifa, Dk Florian Tinuga amesema mila potofu za jamii ya kuhamahama makazi yao ni moja…

Soma Zaidi »

NTC kutoa elimu lishe bora

CHUO cha Taifa cha Utalii (NTC) kimesema katika kuepuka kuongezeka kwa magonjwa yasiyoambukiza kimejikita kutoa mafunzo kwa wanafunzi wanaosomea upishi…

Soma Zaidi »

Museven akutwa na maambukizi ya corona

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amepimwa na kukutwa na COVID-19, yuko katika afya njema na ataendelea na majukumu yake, huku…

Soma Zaidi »

Wananchi watakiwa kulinda wazee

WAKUU wa mikoa wametakiwa kuhakikisha elimu ya kina inatolewa kwa wananchi juu ya haki, ulinzi, usalama na ustawi wa wazee.…

Soma Zaidi »
Back to top button