Fedha

NALA kuwekeza zaidi ya bil 2/- baada ya kupata ‘baraka’ za BOT

KAMPUNI ya Kitanzania inayotoa huduma ya malipo kwa njia ya kieletroniki, NALA, imepewa leseni na Benki Kuu (BOT) itakayowezesha kufanya…

Soma Zaidi »

Washauri serikali itumie wataalamu kukuza uchumi

SERIKALI imeshauriwa kutumia wataalamu na watafiti kutoka katika vyuo vikuu kufanya utafi ti kujua matatizo halisi yanayowakabili wananchi kama sehemu…

Soma Zaidi »

Majaliwa akagua ujenzi SGR Mwanza-Isaka

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo 26 Machi 2023 amekagua mradi wa Ujenzi wa reli ya kisasa SGR Mwanza-Isaka, kipande cha…

Soma Zaidi »

Waomba ushuru kuingiza mabasi upunguzwe

WAMILIKI wa mabasi nchini, wameiomba serikali kupunguza ushuru wa kuingiza mabasi ambao umepanda kutoka Sh milioni 40 hadi milioni 90.…

Soma Zaidi »

Wawekezaji mawasiliano kuendelea kuungwa mkono

WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amesema Serikali itaendelea kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wawekezaji katika…

Soma Zaidi »

‘Kuanzishwe karakana ya taifa kuchakata ngozi’

WAHADHIRI katika Taasisi ya ufundi Stadi nchini Ethiopia (TVET) wameishauri Tanzania kuanzisha karakana ya taifa ya kuchakata ngozi, ili kuongeza…

Soma Zaidi »

Equity, ZEEA na SMIDA zaingia makubaliano kukopesha wajasiriamali bila riba

Benki ya Equity Tanzania imeingia makubaliano ya kufanya kazi na Wakala wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (ZEEA) na Wakala wa Maendelo ya Viwanda Vidogo na…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara kampuni 100 China waja

WAFANYABIASHARA kutoka kampuni 100 nchini    China wanatarajiwa kuja Tanzania kwa lengo la kufanya mazungumzo na kampuni zilizopo nchini. Wafanyabiashara…

Soma Zaidi »

Vijana 200 kunufaika kilimo biashara Tanga

HALMSHAURI ya Jiji la Tanga, imetenga eneo lenye ukubwa wa hekari 200, ambalo wanatarajia kuligawa kwa vijana wapatao 200, ili…

Soma Zaidi »

Upanuzi Uwanja Ndege Mpanda waanza

MAMLAKA ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA), imeanza uboreshaji na upanuzi wa jengo la abiria katika Uwanja wa Ndege Mpanda, uliopo…

Soma Zaidi »
Back to top button