Fedha

BoT yapunguza riba ya mikopo

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imepunguza riba yake kutoka asilimia sita hadi 5.75. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba amesema hayo…

Soma Zaidi »

Sababu saba TRA ikikusanya tril 32/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imeweka rekodi kwa ukusanyaji wa mapato kwa kukusanya Sh trilioni 32.29 katika Mwaka wa Fedha…

Soma Zaidi »

Mwanga Benki yaanza huduma mpya ya mikopo

DAR-ES-SALAAM : BENKI ya Mwanga Hakika imezindua huduma mpya ya utoaji haraka wa mikopo kupitia hati fungani inayoitwa 'Mkopo Chap'…

Soma Zaidi »

Ushirikiano Tanzania, China kuibua fursa za ajira

SERIKALI kwa kushirikiana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China wanaofanya shughuli zao nchini, imeingia makubaliano ya kutoa ajira kwa zaidi…

Soma Zaidi »

Sh Bil 2.5 kusaidia wajasiriamali ubunifu

Mradi wa ubunifu wa Fungo umetangaza fursa mbili za wajasiriamali na biashara endelevu, ambapo kiasi cha zaidi ya Sh bilioni…

Soma Zaidi »

ATCL kuongeza safari, kujiendesha kwa tija

DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) litapanua wigo wa safari zake za kimataifa…

Soma Zaidi »

SGR yatengeneza ajira 9,376

DODOMA — Ajira za moja kwa moja 9,376 tayari zimezalishwa kupitia utekelezaji wa mradi wa reli ya kisasa ya SGR,…

Soma Zaidi »

Tanga ya nne uchangiaji Pato la Taifa

TANGA; MKUU wa Mkoa wa Tanga, Dk Batlida Burian, amesema kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa na serikali, sasa mkoa huo …

Soma Zaidi »

Stanchart yakamilisha uhamishaji wa biashara za kibenki kwa Access

DAR ES SALAAM: BENKI ya Standard Chartered Tanzania imekamilisha uhamishaji wa biashara zake za huduma za kibenki kwa wateja wa…

Soma Zaidi »

Wadaiwa wapewa siku 14 kurejesha mikopo

DAR ES SALAAM: KAMPUNI ya Tambaza Auction Mart na General Brokers Limited, kwa niaba ya Bodi ya Amana, imetoa siku…

Soma Zaidi »
Back to top button