Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali yaeleza manufaa umeme wa nje

Serikali yaeleza manufaa umeme wa nje

SERIKALI imesema nchi ina umeme wa kutosha lakini itanunua megawati 100 nchini Ethiopia kwa ajili ya mikoa ya Kanda ya…
Namna kampeni ya ‘Shangwe Popote’ inavyotumika kuwahimiza wananchi kulipa kupitia simu

Namna kampeni ya ‘Shangwe Popote’ inavyotumika kuwahimiza wananchi kulipa kupitia simu

DAR EA SALAAM: Kwa Watanzania wengi, msimu wa sikukuu ni wakati wa kusherehekea, kusafiri, na kujumuika na familia. Hata hivyo,…
Mchango wa SBL kukuza usawa wa kijinsia watambulika

Mchango wa SBL kukuza usawa wa kijinsia watambulika

Dar es Salaam: Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imetambuliwa katika tuzo maarufu za Rising Woman kwa mchango wake mkubwa…
Mbunge ahimiza wakulima wa korosho kujisajili

Mbunge ahimiza wakulima wa korosho kujisajili

KUELEKEA msimu wa kilimo cha zao la korosho mwaka 2025/2026, wakulima wa zao hilo katika Halmashauri ya Mji Nanyamba mkoani…
RC Geita awatimua maofisa wa GGML kikao cha RCC

RC Geita awatimua maofisa wa GGML kikao cha RCC

MKUU wa Mkoa wa Geita, Martine Shigela ameamuru maofisa watendaji watatu wa Kampuni ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML)…
Tanzania yanga’ara uwekezaji kutoka nje

Tanzania yanga’ara uwekezaji kutoka nje

UWEKEZAJI wa moja kwa moja kutoka nje (FDI) umeendelea kuongezeka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, imefahamika. Ripoti ya Uwekezaji…
Umuhimu wa mawasiliano katika kukuza uchumi

Umuhimu wa mawasiliano katika kukuza uchumi

MAWASILIANO ni nyenzo muhimu kwa nchi yoyote ile duniani. Kwa nchi yenye watu wenye kipato cha kati na maskini kama…
Barabara Bagamoyo-Tanga itakavyoifungua nchi kiuchumi

Barabara Bagamoyo-Tanga itakavyoifungua nchi kiuchumi

FEBRUARI 26, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa barara ya Bagamoyo (Makurunge) –…
Kitila: Hakuna sababu ya kuagiza nondo, mabati nje

Kitila: Hakuna sababu ya kuagiza nondo, mabati nje

SERIKALI imesema hakuna haja ya kuagiza nondo na mabati kutoka nje ya nchi kwa sababu viwanda vilivyopo nchini vinakidhi mahitaji.…
Veta yaja kibiashara, kutumia vituo 14 vya umahiri

Veta yaja kibiashara, kutumia vituo 14 vya umahiri

MAMLAKA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imeanzisha kampuni ya kibiashara. Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Anthony Kasore amesema…
Back to top button