Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

BoT, Mtwara wajadili uchumi, uwekezaji

BoT, Mtwara wajadili uchumi, uwekezaji

GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Emmanuel Tutuba, amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala, pamoja…
RC Singida ataka wawekezaji adai ardhi inatosha

RC Singida ataka wawekezaji adai ardhi inatosha

SINGIDA: MKUU wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amewataka wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kujitokeza kuwekeza katika sekta…
Bidhaa ya chama yaondolewa sokoni

Bidhaa ya chama yaondolewa sokoni

DAR-ES-SALAAM : SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeondoa sokoni tani 42 za bidhaa za chakula za watoto maarufu chama zenye…
Mil 120/- zafidia wafanyabiashara Soko la Mashine Tatu Iringa

Mil 120/- zafidia wafanyabiashara Soko la Mashine Tatu Iringa

IRINGA: Wafanyabiashara 40 wa Soko la Mashine Tatu, mjini Iringa, waliopoteza bidhaa na mitaji kufuatia ajali ya moto, wamekabidhiwa hundi…
Misingi imara ya ukaguzi yaipaisha NBAA Afrika

Misingi imara ya ukaguzi yaipaisha NBAA Afrika

DAR ES SALAAM: Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) imeeleza kuwa moja ya sababu zilizochangia Shirikisho la Wahasibu…
Serikali ilivyofanya mageuzi sekta ya maji

Serikali ilivyofanya mageuzi sekta ya maji

MAJI ni uhai ni kauli ambayo imekuwa ikisemwa na watu wengi kuonesha umuhimu wa maji katika maisha ya Watanzania. Pia…
EAC iwalinde wanawake biashara za kuvuka mpaka

EAC iwalinde wanawake biashara za kuvuka mpaka

BAADHI ya wanawake wanategemea biashara za kuvuka mpaka kupata riziki za kuendesha familia zao ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki…
TRA yafundwa kuepusha migogoro Katavi

TRA yafundwa kuepusha migogoro Katavi

KATAVI: Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Katavi imetakiwa kufanya kazi kwa weledi ili kuondoa changamoto zote zinazoweza kusababisha…
TADB yaipiga jeki Galaxy Food kuongeza uzalishaji, soko

TADB yaipiga jeki Galaxy Food kuongeza uzalishaji, soko

ARUSHA: Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeiwezesha Kampuni ya Maziwa Galaxy Food and Beverages Ltd kuondoa vikwazo vya…
Sekta ya nguruwe kupata msukumo mpya

Sekta ya nguruwe kupata msukumo mpya

DAR-ES-SALAAM : WAZIRI Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda, amesema Tanzania itanufaika na kongamano kubwa la wafugaji wa nguruwe Barani Afrika, litakalosaidia…
Back to top button