Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

NEEC: Wananchi wanapaswa kupata fursa sawa kiuchumi

NEEC: Wananchi wanapaswa kupata fursa sawa kiuchumi

DAR ES SALAAM: Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limesema wananchi wote wanapaswa kupata fursa sawa za kiuchumi ili…
Korosho Marathon 2025 yaiva

Korosho Marathon 2025 yaiva

MTWARA; BODI ya Korosho kwa kushirikiana na Kampuni ya Makanjiro imeandaa Korosho Marathon 2025 kwa nia ya kuchangisha fedha kununua…
Azania benki yatoa mikopo ya bil 3/- , Iringa – Mkuu wa Mkoa atoa wito

Azania benki yatoa mikopo ya bil 3/- , Iringa – Mkuu wa Mkoa atoa wito

IRINGA: Benki ya Azania imefanikisha kutoa mikopo yenye thamani ya zaidi ya Sh bilioni 3 kwa wananchi wa Mkoa wa…
Kariakoo yatangaza msamaha wa kodi miezi miwili

Kariakoo yatangaza msamaha wa kodi miezi miwili

SHIRIKA la Masoko Kariakoo mkoani Dar es Salaam limetangaza msamaha wa kodi wa miezi miwili kwa wafanyabiashara waliounguliwa na maduka.…
SMZ kuimarisha uchumi wa buluu

SMZ kuimarisha uchumi wa buluu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Rais Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali itaendelea kuimarisha miundombinu ya sekta…
Uwekezaji wa serikali wafikia tril 92.3/-

Uwekezaji wa serikali wafikia tril 92.3/-

MSAJILI wa Hazina, Nehemiah Mchechu amesema uwekezaji wa serikali ndani na nje ya nchi umeongezeka kwa asilimia saba. Taarifa ya…
Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

Bandari Mtwara yapokea mafuta kwenda nchi jirani

BANDARI ya Mtwara imeanza kupokea meli zenye mzigo wa mafuta ambayo husafirishwa kwenda Zambia, Malawi na Burundi. Meneja wa Bandari…
Wakulima wa karafuu kumiliki mashamba

Wakulima wa karafuu kumiliki mashamba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa Serikali imeamua kutoa Hatimilki za Mashamba…
EAC iungwe mkono kukamilisha sarafu ya pamoja

EAC iungwe mkono kukamilisha sarafu ya pamoja

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imefanikiwa kusimamia vyema Itifaki ya Soko la Pamoja katika miaka 25 baada ya kuanzishwa tena…
Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji- Tiseza

Tanzania ni sehemu salama kwa uwekezaji- Tiseza

MAMLAKA ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA) imesema mchakato wa Uchaguzi Mkuu haujaathiri kasi ya uwekezaji nchini.…
Back to top button