Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Vodacom, Sanlam zaja na mpango wa kuwekeza kidijitali
November 28, 2024
Vodacom, Sanlam zaja na mpango wa kuwekeza kidijitali
DAR ES ES SALAAM: Kampuni ya mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc imeungana kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo…
SBL yapaisha viwango vya sekta ya ukarimu kimataifa
November 28, 2024
SBL yapaisha viwango vya sekta ya ukarimu kimataifa
DAR ES SALAAM: Wanafunzi wanaosomea fani ya ukarimu katika Chuo cha Taifa cha Utalii (NCT) sasa watapata mafunzo ya ziada…
Tuzo ya uzalendo ulipaji kodi yaja
November 26, 2024
Tuzo ya uzalendo ulipaji kodi yaja
SERIKALI ina jukumu kubwa la kuweka mikakati ya kuendelea kurasimisha biashara nchini na kuhamasisha utumiaji wa mashine za kielektroniki katika…
Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha
November 26, 2024
Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha
NAIROBI: Kampuni ya utoaji huduma ya mtandao ya Kenya, Mawingu imeitwaa kampuni ya IPS Habari yenye makao makuu jijini Arusha…
Serikali yaita wawekezaji kutoka Japan
November 26, 2024
Serikali yaita wawekezaji kutoka Japan
SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Japan huku ikitoa wito kwa kampuni za Japan kuja kuwekeza nchini katika maeneo mbalimbali…
Vikwazo 18 biashara ya kuvuka mpaka vyaainishwa
November 23, 2024
Vikwazo 18 biashara ya kuvuka mpaka vyaainishwa
VIKWAZO 18 visivyo vya kikodi vimeainishwa vikielezwa kuwa vimekuwa changamoto kubwa na kuzuia kukua kwa biashara ya kuvuka mpaka kwa…
“Wadau Takwimu Rasmi shirikianeni na Serikali”
November 23, 2024
“Wadau Takwimu Rasmi shirikianeni na Serikali”
NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, ametoa rai kwa wadau wote wa sekta ya Takwimu Rasmi kushirikiana na Serikali…
TIRA yahimizwa kufanya kazi kidigitali
November 23, 2024
TIRA yahimizwa kufanya kazi kidigitali
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imezindua taarifa ya utendaji wa soko la bima huku ikihimizwa kuimarisha matumizi ya…
Majaliwa: Mitaala izingatie mabadiliko ya kiuchumi, kiteknolojia
November 22, 2024
Majaliwa: Mitaala izingatie mabadiliko ya kiuchumi, kiteknolojia
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia. Amesema hayo leo…