Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mashirika ya Umma yaguswa uchaguzi mkuu

Mashirika ya Umma yaguswa uchaguzi mkuu

KATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Dk Mosses Kusiluka ameziagiza taasisi na mashirika yote ya umma kutumia vizuri huduma wanazotoa kushiriki na…
Katibu Mkuu Dk Mwamba akutana na Mkurugenzi Afritac East

Katibu Mkuu Dk Mwamba akutana na Mkurugenzi Afritac East

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dk Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi wa Taasisi ya Afritac East,…
Bomba la mafuta lapata ufadhili mradi ukifika 55%

Bomba la mafuta lapata ufadhili mradi ukifika 55%

MRADI wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umepata sehemu ya kwanza ya ufadhili wa nje. Ufadhili kutoka…
Tuzo za wafanyabishara Kariakoo zaja

Tuzo za wafanyabishara Kariakoo zaja

DAR ES SALAAM; Tuzo ziitwazo Kariakoo Business Award zinatarajiwa kufanyika hivi karibuni katika Mkoa wa Dar es Salaam, zikiwa na…
Rifaly, Stanbic wawapiga jeki waunda maudhui

Rifaly, Stanbic wawapiga jeki waunda maudhui

DAR ES SALAAM: Rifaly, kwa kushirikiana na Benki ya Stanbic Tanzania, leo wameandaa tukio la pili la ‘Creators Day’, likiwa…
Dodoma yapata bil 529/- miundombinu uchukuzi

Dodoma yapata bil 529/- miundombinu uchukuzi

BODI ya Wakurugenzi wakuu wa Benki ya Dunia imeidhinisha Dola za Marekani milioni 200 sawa na Sh bilioni 528.57 za…
Vigogo Wachina watua kwa Ulega, wajitetea

Vigogo Wachina watua kwa Ulega, wajitetea

HATIMAYE Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amekutana na viongozi wakuu wa kampuni za China zinazosimamia miradi ya ujenzi wa miundombinu…
Samia aagiza ijengwe SGR kwenda Arusha

Samia aagiza ijengwe SGR kwenda Arusha

ARUSHA; RAIS Samia Suluhu Hassani ameagiza uanze mchakato wa kujenga Reli ya Kisasa (SGR) kwenda mkoani Arusha. Mkurugenzi Mkuu wa…
Mashirika ya umma kwenda kimataifa

Mashirika ya umma kwenda kimataifa

SERIKALI imezitaka taasisi na mashirika ya umma ambayo hayajajisajili kwenye masoko ya mitaji ya kimataifa kufanya hivyo ili kuwezesha wananchi…
Rais Dk. Mwinyi aipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

Rais Dk. Mwinyi aipongeza Benki Kuu ya Tanzania (BOT)

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amesema Mafanikio  ya Ukuaji wa…
Back to top button