Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha

Kampuni Kenya yakamilisha umiliki wa ISP Habari ya Arusha

NAIROBI: Kampuni ya utoaji huduma ya mtandao ya Kenya, Mawingu imeitwaa kampuni ya IPS Habari yenye makao makuu jijini Arusha…
Serikali yaita wawekezaji kutoka Japan

Serikali yaita wawekezaji kutoka Japan

SERIKALI imesema kuwa itaendelea kushirikiana na Japan huku ikitoa wito kwa kampuni za Japan kuja kuwekeza nchini katika maeneo mbalimbali…
 Vikwazo 18 biashara ya kuvuka mpaka vyaainishwa

 Vikwazo 18 biashara ya kuvuka mpaka vyaainishwa

VIKWAZO  18 visivyo vya kikodi vimeainishwa vikielezwa kuwa vimekuwa changamoto kubwa na kuzuia kukua kwa biashara ya kuvuka mpaka kwa…
“Wadau Takwimu Rasmi shirikianeni na Serikali”

“Wadau Takwimu Rasmi shirikianeni na Serikali”

NAIBU Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande, ametoa rai kwa wadau wote wa sekta ya Takwimu Rasmi kushirikiana na Serikali…
TIRA yahimizwa kufanya kazi kidigitali

TIRA yahimizwa kufanya kazi kidigitali

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imezindua taarifa ya utendaji wa soko la bima huku ikihimizwa kuimarisha matumizi ya…
Majaliwa: Mitaala izingatie mabadiliko ya kiuchumi, kiteknolojia

Majaliwa: Mitaala izingatie mabadiliko ya kiuchumi, kiteknolojia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza kuwa mitaala inayoandaliwa ihakikishe inazingatia mabadiliko ya kiuchumi na maendeleo ya kiteknolojia. Amesema hayo leo…
Serikali yaahidi mazingira bora ya biashara, uwekezaji

Serikali yaahidi mazingira bora ya biashara, uwekezaji

SERIKALI imeahidi kuendelea kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji ili kuchochea ukuaji wa sekta mbalimbali kama Utalii, Kilimo, Madini, Viwanda,…
Tume Maboresho ya Kodi yasheheni wabobezi kutimiza malengo

Tume Maboresho ya Kodi yasheheni wabobezi kutimiza malengo

UUNDAJI wa Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ni hatua muhimu na ya…
Majaliwa afungua kongamano la maendeleo ya biashara, uchumi

Majaliwa afungua kongamano la maendeleo ya biashara, uchumi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Novemba 22 anamwakilisha Rais Dk Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa kongamano la tano ya…
BoT yafungia ‘taasisi’ 69 mikopo kidijiti

BoT yafungia ‘taasisi’ 69 mikopo kidijiti

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imezifungia programu tumizi 69 zilizokuwa zikitumika kutoa mikopo kidijiti. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba ameeleza…
Back to top button