Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Samia: Maboresho Bandari ya Tanga kuongeza ufanisi, tija
March 1, 2025
Samia: Maboresho Bandari ya Tanga kuongeza ufanisi, tija
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa maboresho ya Bandari ya Tanga ambayo yamegharimu shilingi bilioni 429 yatakwenda kuongeza ufanisi mkubwa…
Silafrika yaipongeza serikali sera rafiki uwekezaji
March 1, 2025
Silafrika yaipongeza serikali sera rafiki uwekezaji
KAMPUNI ya SILAFRIKA imeipongeza serikali kwa msaada na sera rafiki kwa wawekezaji kwani inachangia ukuaji wa pato la taifa. Kauli…
Samia alivyolinda mafanikio urithi wa Bandari za Tanzania
February 28, 2025
Samia alivyolinda mafanikio urithi wa Bandari za Tanzania
OPERESHENI za bandari nchini Tanzania zimepiga hatua kubwa katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini…
Muhtasari wa majadiliano kuhusu maboresho ya kodi
February 28, 2025
Muhtasari wa majadiliano kuhusu maboresho ya kodi
KADRI Tanzania inavyoendelea na harakati za maboresho ya kodi, ni muhimu kufanya tafakuri kuhusu mada kuu zilizojadiliwa katika mfululizo wa…
Mapato, makusanyo yapaa TIC
February 28, 2025
Mapato, makusanyo yapaa TIC
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesema mapato na makusanyo yake kwa mwezi yamefikia Sh bilioni moja kutoka milioni 400 iliyokuwa…
Mazingira ya uwekezaji yalipa
February 28, 2025
Mazingira ya uwekezaji yalipa
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema uwekezaji uliofanywa na kiwanda cha saruji Tanga unaonesha kuna mazingira mazuri ya uwekezaji nchini. Aidha,…
BoT yanunua tani mbili za dhahabu
February 27, 2025
BoT yanunua tani mbili za dhahabu
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imenunua zaidi ya tani mbili za dhahabu ya Tanzania tangu Julai mwaka jana ikiwa ni…
Samia azindua boti za bil 4/- za wavuvi Tanga
February 27, 2025
Samia azindua boti za bil 4/- za wavuvi Tanga
RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua boti 35 zitakazotumiwa na wavuvi wa Mkoa wa Tanga zenye thamani ya Sh bilioni nne…
Barabara kuifungua Tanga kibiashara, kiutalii
February 27, 2025
Barabara kuifungua Tanga kibiashara, kiutalii
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Barabara ya Bagamoyo (Makurunge) – Pangani -Saadani – Tanga inayojumuisha Daraja la Mto Pangani, itaufungua…