Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Dar kuanza na maeneo saba biashara saa 24

Dar kuanza na maeneo saba biashara saa 24

DAR ES SALAAM; MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema Jiji la Dar es Salaam litakapoanza kufanya…
Majaliwa: Tanzania itakuza biashara na EU

Majaliwa: Tanzania itakuza biashara na EU

SERIKALI ya Tanzania imesema itaendelea kukuza na kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji na nchi za Umoja wa Ulaya (EU).…
CTI yashauri kuchukuliwa hatua za haraka kulinda maisha, mapato sekta ya viwanda

CTI yashauri kuchukuliwa hatua za haraka kulinda maisha, mapato sekta ya viwanda

DAR ES SALAAM: Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) liliendesha warsha na wadau mbalimbali kujadili changamoto kubwa la unywaji wa pombe…
Pata mafanikio kifedha kwa uwekezaji bima ya maisha

Pata mafanikio kifedha kwa uwekezaji bima ya maisha

DAR ES SALAAM; Maisha yenye mafanikio ya kifedha yanatokana na maamuzi ya makusudi na mipango madhubuti, iwe ni kuweka kwa…
Elimu kwa wakulima yaongeza tija katika kilimo cha pamba

Elimu kwa wakulima yaongeza tija katika kilimo cha pamba

SERIKALI imekuwa ikifanya jitihada mbalimbali za kuhakikisha inalipaisha zao pamba kwenye uzalishaji pamoja na kuliwezesha kupenya kwenye soko la dunia.…
Maboresho ya kodi na mwingiliano wa matumizi ya serikali

Maboresho ya kodi na mwingiliano wa matumizi ya serikali

MABORESHO ya kodi ni suala ambalo limekuwa kitovu cha majadaliano mengi yahusuyo uchumi katika miaka ya hivi karibuni, huku serikali…
BoT: Uchumi umetulia

BoT: Uchumi umetulia

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uchumi wa nchi umetulia. Gavana wa BoT, Emmanuel Tutuba ameeleza kuwa katika nusu ya…
Serikali yaeleza mafanikio mifugo, uvuvi

Serikali yaeleza mafanikio mifugo, uvuvi

SERIKALI imeeleza mafanikio katika sekta za mifugo na uvuvi. Imesema mauzo ya nyama nje yameongezeka kutoka tani 1,774 mwaka 2021 hadi kufika…
Biteko aikaribisha India kuwekeza miradi ya umeme jua nchini

Biteko aikaribisha India kuwekeza miradi ya umeme jua nchini

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya…
Biteko anadi mikunde, aalika wawekezaji kutoka India

Biteko anadi mikunde, aalika wawekezaji kutoka India

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Serikali ya Tanzania imejizatiti kuboresha na kuimarisha sekta ya…
Back to top button