Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
KARNE YA HUDUMA: TCB yajipambanua kidijitali
February 14, 2025
KARNE YA HUDUMA: TCB yajipambanua kidijitali
DAR ES SALAAM: Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa huku ikiahidi wateja na wadau kuwa itaendelea…
Umuhimu wa maboresho ya kodi kupitia ushirikishaji umma
February 14, 2025
Umuhimu wa maboresho ya kodi kupitia ushirikishaji umma
KODI ni muhimu katika kufadhili shughuli za maendeleo ya kiuchumi na huduma za umma Afrika Mashariki. Serikali za ukanda huu…
Naibu Katibu Mkuu Maliasili awanoa wahasibu
February 13, 2025
Naibu Katibu Mkuu Maliasili awanoa wahasibu
ARUSHA: NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi, Benedict Wakulyamba amesema Wahasibu wa…
Serikali yawashauri wazazi kufundisha watoto kujiwekea akiba
February 13, 2025
Serikali yawashauri wazazi kufundisha watoto kujiwekea akiba
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imewashauri wazazi na walezi kuwafundisha Watoto kuwa na utamaduni wa kujiwekea akiba ili kuwasaidia katika…
Serikali yaasa wananchi kutowekeza fedha penye vihatarishi
February 13, 2025
Serikali yaasa wananchi kutowekeza fedha penye vihatarishi
SERIKALI imetoa rai kwa Wananchi kuwekeza fedha zao sehemu sahihi na salama badala ya kuwekeza fedha mahali ambapo pana vihatarishi.…
Watanzania kula maisha Dubai ‘Valentine Day’
February 13, 2025
Watanzania kula maisha Dubai ‘Valentine Day’
WATANZANIA Kadhaa watapata nafasi ya kusherehekea siku ya wapendanao ‘Valentine Day’ wakiwa nchini Dubai. Hatua hiyo ni baaada ya Kampuni…
Dira 2050 yataja changamoto saba mazingira ya biashara
February 13, 2025
Dira 2050 yataja changamoto saba mazingira ya biashara
RASIMU ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 imetaja changamoto saba za mazingira wezeshi ya biashara na uwekezaji nchini. Imetaja…
Kilimanjaro waaswa kuacha matumizi mabaya ya fedha
February 12, 2025
Kilimanjaro waaswa kuacha matumizi mabaya ya fedha
MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amewaasa wananchi wa Mkoa wa Kilimanjaro kuacha matumizi mabaya ya fedha, huku wengine…
TRA yakusanya bil 92/- miezi sita Kagera
February 12, 2025
TRA yakusanya bil 92/- miezi sita Kagera
KAGERA:MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Kagera imekusanya Sh bilioni 92.3 kwa kipindi cha Julai – Desemba sawa na asilimia…
‘Elimu ya fedha itachochea maendeleo yetu kiuchumi’
February 11, 2025
‘Elimu ya fedha itachochea maendeleo yetu kiuchumi’
Wananchi wa Kata ya Makanya, Wilaya ya Same, Mkoani Kilimanjaro, wameipongeza Serikali kwa kuwapelekea elimu ya fedha ambayo inatarajia kuwa…