Uwekezajia

DC Longido asisitiza Dk Kiruswa kuungwa mkono uibuaji vipaji

MKUU wa Wilaya ya Longido mkoani Arusha, Salumu Kalli amewataka wanamichezo wilayani humo kumuunga mkono Naibu Waziri wa Madini na…

Soma Zaidi »

Takukuru Mtwara waokoa mil 31/- za viuatilifu

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Mtwara  imefanikiwa kuokoa zaidi ya Sh milioni 31 fedha za viuatilifu…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi afungua Ofisi ya wakala wa ZIPA China

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua rasmi ofisi ya wakala wa Mamlaka…

Soma Zaidi »

Mradi wa Sh bilioni 60 kuboresha sekta ya usafishaji Ziwa Victoria

MWANZA/BUKOBA: Serikali ya Tanzania imewekeza Sh bilioni 60 kuboresha bandari tatu kuu za Ziwa Victoria. Meneja wa Bandari za Ziwa…

Soma Zaidi »

Dk Chana ahamasisha uwekezaji mazao ya misitu

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Balozi, Dk Pindi Chana amewahimiza wawekezaji wa mazao ya misitu kutoka nchini China kuanzisha viwanda…

Soma Zaidi »

Mpango awakaribisha wawekezaji nishati jotoardhi

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kushirikiana na Tanzania katika kuwekeza kwenye nishati ya Jotoardhi inayopatikana katika maeneo…

Soma Zaidi »

Uwekezaji wa Sh bil 429.1 waleta mabadiliko Bandari ya Tanga

TANGA: Utendaji wa Bandari ya Tanga umeimarika kwa kiasi kikubwa katika miaka ya hivi karibuni, kutokana na uwekezaji wa Serikali…

Soma Zaidi »

Vituo vya SGR ‘dili’ kampuni ya simu ikifungua duka stesheni Dar

DAR ES SALAAM: Katika kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa Wateja ya mwaka 2024, Vodacom Tanzania Plc leo imezindua duka jipya—…

Soma Zaidi »

Sekta ya utalii yasifiwa kuongeza pato la taifa

NAIBU Waziri ,Wizara ya Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula amesema sekta ya utalii imekuwa na mchango mkubwa kwenye ajira za…

Soma Zaidi »

Prof Mkumbo: Mamlaka za mitaa zivutie wawekezaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amezitaka mamlaka za serikali za mitaa kuwa sehemu…

Soma Zaidi »
Back to top button