Featured

Featured posts

Real Madrid vs Barcelona: ‘El Clásico’ ya kibabe

MACHO na masikio ya wapenda soka duniani leo yanahamia Hispania ambako kunapigwa kipute kikali cha ‘El Clásico’ Ligi Kuu Hispania-LaLiga…

Soma Zaidi »

Simba, Azam viwanja tofauti nyumbani leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mechi tatu kupigwa Dar es Salaam na Singida. Wekundu wa Msimbazi, Simba itakuwa…

Soma Zaidi »

Kijaji atoa wito usafi, upandaji miti Tanga

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Dk. Ashatu Kijaji ametoa wito kwa wananchi wa Tanga…

Soma Zaidi »

Antony Joshua kutwangana na Dubois au Fury

BONDIA wa uzito wa juu Anthony Joshua atazichapa na ama Daniel Dubois au Tyson Fury katika pambano lijalo, amesema promota…

Soma Zaidi »

Wahamiaji 164 wa kisomali warejea kwao

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Somalia, Ahmed Maalam Faqi, ameongoza Kamati ya Wahamiaji wa Kisomali…

Soma Zaidi »

Ushiriki ‘Samia Kalamu Awards’ wasogezwa mbele

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameutaarifu umma kuwa tuzo…

Soma Zaidi »

DC Ilala awaonya mikopo kausha damu.

WAJASIRIAMALI wameonywa kutumia mikopo ya kausha damu na badala yake wametakiwa kutumia vizuri mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri kukuza…

Soma Zaidi »

Viwanja 16 Ligi ya Europa leo

MICHUANO ya Ligi ya Europa barani Ulaya hatua ya ligi inaendelea leo kwa michezo 16 katika viwanja tofauti. Galatasaray ya…

Soma Zaidi »

Serikali kudhibiti athari mabadiliko tabia nchi

KUFUATIA changamoto ya athari ya mabadiliko ya tabia nchi maeneo ya Ukanda wa Bahari ya Hindi wilayani Mkinga serikali inatarajiwa…

Soma Zaidi »

Juma Mgunda kocha mpya Namungo

TIMU ya Namungo imemtangaza Juma Mgunda kuwa Kocha Mkuu mpya wa klabu hiyo. Taarifa ya Namungo imesema Aliyekuwa Kocha Mkuu…

Soma Zaidi »
Back to top button