Featured

Featured posts

Wageni wakutwa na biashara ‘haramu’ Kariakoo Dar

KAMATI Maalumu ya Ukaguzi wa Biashara zinazomilikiwa na wageni iliyoundwa na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Seleman Jafo imebaini…

Soma Zaidi »

214, 141 kujiunga Kidato cha Tano, vyuo

SERIKALI kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Miko na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imetangaza kuwachagua wanafunzi 214,141 wenye sifa za…

Soma Zaidi »

Serikali yaongeza bajeti mikopo elimu ya juu

Katika kipindi cha miaka minne, bajeti ya mikopo ya elimu imepanda kutoka shs bilioni 464 (2020/2021) hadi shs bilioni 787…

Soma Zaidi »

Dirisha maombi elimu ya juu kufunguliwa Juni 15

SERIKALI imetangaza kuwa miongozo ya mikopo ya elimu kwa mwaka wa masomo 2025/2026 itapatikana katika lugha za Kiingereza na Kiswahili…

Soma Zaidi »

Wanyama waharibifu, wakali ‘wawekwa mtegoni’

TANZANIA imebarikiwa kuwa na maliasili nyingi wakiwamo wanyamapori ambao wamekuwa sehemu ya vivutio vya utalii nchini na kuliingizia taifa mabilioni…

Soma Zaidi »

Agizo la udhibiti bidhaa viwandani lizingatiwe

KATIKA moja ya eneo ambalo Watanzania wamekuwa wakilalamikia ni ubora wa bidhaa zinazozalishwa iwe ndani au nje ya nchi. Kwa…

Soma Zaidi »

Serikali yaita tril 11/- uwekezaji nishati

SERIKALI imesema imefungua dirisha ili sekta binafsi iwekeze dola za Marekani bilioni nne (zaidi ya Sh trilioni 10.78) katika sekta…

Soma Zaidi »

BoT yaja na mifumo kudhibiti mikopo kausha damu

SERIKALI imezindua mifumo miwili ya kidijiti ili pamoja na mambo mengine kunusuru Watanzania na mikopo umiza inayotolewa na riba kubwa.…

Soma Zaidi »

Samia ataja utumishi wa dini unaofaa

RAIS Samia Suluhu Hassan amelipongeza Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa huduma inazotoa katika jamii, akisema huo ndio…

Soma Zaidi »

Samia achangia mil 150/- ujenzi kituo cha watoto

RAIS Samia Suluhu Hassan amechangia sh milioni 150, kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Watoto wenye mahitaji maalumu wenye…

Soma Zaidi »
Back to top button