Mitindo & Urembo

Sharon aing’arisha TZ Miss Africa International 2024

MREMBO Mtanzania Sharon Julius ameiwakilisha vyema Tanzania baada ya Julius kuibuka mshindi wa pili ‘1st runner-up’ katika mashindano ya Miss…

Soma Zaidi »

Mshindi Tamasha la Mavazi Samia akabidhiwa mil 3/-

MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese amekabidhi hundi yenye thamani ya Sh milioni tatu kwa mwanamitindo Elizabeth Masuka aliyeibuka mshindi…

Soma Zaidi »

Millen Magese jaji mkuu Tamasha la Mavazi Samia

MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese ametangazwa kuwa Jaji Mkuu wa Tamasha la Samia Fashion litakalofanyika Novemba 30 mwaka huu…

Soma Zaidi »

Mrembo Rwanda anaswa kuendesha gari amelewa

MSHINDI wa taji la urembo Rwanda mwaka 2022, Divine Muheto, amekamatwa kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa na bila…

Soma Zaidi »

Jukwaa la ubunifu kuanza Sept 28

JUKWAA la Ubunifu nchini (Tanzania Fashion Festival) Msimu wa 7 unatarajia kufanyika Septemba 28, 2024 katika ukumbi wa Terrace Slipway…

Soma Zaidi »

Jasinta Makwabe: Someni kabla ya kuingia mitindo

MWANAMITINDO Jasinta David Makwambe amewashauri vijana wanaotamani kuingia kwenye sekta ya Mitindo kusoma kwanza ili kutumia elimu watakayopata kufanikisha ndoto…

Soma Zaidi »

Mobeto apokea ubalozi mpya.

DAR-ES-SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobetto ameendelea kufanya vizuri katika kazi zake na kupata ubalozi wa bidhaa ya Spaghetti huku akisema juhudi…

Soma Zaidi »

Wanamitindo wa kimataifa watengenezwe

DAR-ES-SALAAM: MWANAMITINDO Mstaafu wa kimataifa, Tausi Likokola ameishauri Tanzania itoe wanamitindo wengi bora wanaokidhi vigezo vya kimataifa. Akizungumza na HabariLEO,…

Soma Zaidi »

Malika Designer aisifu serikali inavyomuunga mkono

DAR ES SALAAM: MBUNIFU wa mavazi nchini, Malika Rashid ‘Malika Designer’ amesema katika harakati zake za kusaidia jamii kwa kutoa…

Soma Zaidi »

Malika Designer abuni mavazi kwa viongozi

DAR ES SALAAM: MBUNIFU wa mavazi nchini, Malika Rashid ‘Malika Designer’ amesema amejipanga vilivyo na sasa amebuni mavazi ambayo yanaweza…

Soma Zaidi »
Back to top button