Jamii

Mtwara watakiwa kutunza miundombinu ya barabara

MTWARA; MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amewataka wananchi mkoani humo kutunza miundombinu ya barabara  kwa sababu inainua…

Soma Zaidi »

 Yatima washiriki chakula cha pamoja Dar

DAR ES SALAAM: WATOTO walioko katika vituo vya watoto yatima mkoani Dar es Salaam, wameshiriki chakula cha pamoja na mwanzilishi…

Soma Zaidi »

Dawa mpya za kulevya zakamatwa Dar

DAR ES SALAAM; MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya(DCEA), imekamata kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa…

Soma Zaidi »

Watendaji wazembe Tanesco kuchukuliwa hatua

DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza ripoti ya taarifa kila wiki ya…

Soma Zaidi »

Wanaojenga SGR wasaidia yatima

DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa nchini (SGR), imetoa msaada kwenye kituo cha Mama Mwana…

Soma Zaidi »

Bodaboda: tupo tayari kulipa kodi

KIGOMA UJIJI, Kigoma: MADEREVA pikipiki (bodaboda) na bajaji mkoani Kigoma wamesema kuwa wapo tayari kulipa kodi ya mapato kwa hiari…

Soma Zaidi »

DC Mkinga apewa maagizo wahamiaji haramu

TANGA; Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mkinga, Gilbert Kalima na kumuagiza kuweka…

Soma Zaidi »

Wanawake 116 kupatiwa mafunzo ya uongozi

DAR ES SALAAM; JUMLA ya wanawake 116 watapatiwa mafunzo yanayolenga kuwawezesha kuingia katika nafasi mbalimbali za uongozi. Mafunzo hayo yameandaliwa…

Soma Zaidi »

Walioathiriwa mafuriko ya Bwawa la Nyerere wasaidiwa

PWANI; WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo…

Soma Zaidi »

Mafuriko yaathiri kaya 179 Kilombero

MOROGORO; KAYA 179 zinazoishi Kijiji cha Taweta , Kata ya  Masagati , wilaya ya Kilombero , mkoani Morogoro zimekosa mahala…

Soma Zaidi »
Back to top button