Jamii

Bagamoyo wapewa msaada vifaa vya kuhifadhia taka

HALMASHAURI ya Wilaya ya Bagomoyo, imepokea vifaa mbalimbali vya kuhifadhi taka  kutoka Fisher Records ya jijini Dar es Salaam. Vifaa…

Soma Zaidi »

Walioolewa mitala Ngorongoro watoa ya moyoni

WANAWAKE walioolewa zaidi ya mmoja katika boma la kimaasai, wanaoishi Kijiji cha Kayapus Kata ya Ngorongoro, wameiomba serikali kuwasaidia, ili…

Soma Zaidi »

 Serikali yafungia mitandao inayojihusisha na ushoga

MAMLAKA nchini Tanzania katika kujaribu kulinda maadili na utamaduni wa Mtanzania, imeanza kuchukua hatua kali ikiwa ni pamoja na kufungia…

Soma Zaidi »

 Waomba mchakato kuwaondoa Ngorongoro uharakishwe

WAKAZI wanaoishi katika Kijiji cha Kapenjiro, kata ya Naiyobi, Tarafa ya Ngorongoro na wengine waliopo ndani ya  Hifadhi ya Ngorongoro,…

Soma Zaidi »

Sababu wanaume kuongoza magonjwa ya akili zatajwa

MATATIZO ya afya ya akili ni miongoni mwa changamoto zinazowasumbua watu wengi kwa sasa katika jamii. Matumizi ya dawa za…

Soma Zaidi »

Mashahidi 24 kufunguka kesi ya shambulizi mgodini

MASHAHIDI 24 wanatarajiwa kutoa ushahidi na kuwasilisha vielelezo 11 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara kwenye…

Soma Zaidi »

Mpango akumbusha Watanzania mazingira, malezi

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango amehimiza Watanzania wapande miti na kuzingatia usafi kwa kuwa mvua hazitabiriki na zinanyesha wakati…

Soma Zaidi »

Serikali: Wapinzani kaoneni miradi

SERIKALI imeagiza viongozi wa vyama vya siasa waendele kutembelea miradi ya kimkakati. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,…

Soma Zaidi »

Chuo cha Mwalimu Nyerere wasaidia yatima

Wanafunzi na uongozi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere  jijini Dar es Salaam, wametoa mahitaji mbalimbali kwa watoto yenye…

Soma Zaidi »

Matajiri wahusishwa ufukuaji makaburi

BAADHI ya matajiri  wanadaiwa kuwezesha  mauaji ya watu, wizi wa vitu na viungo vya maiti vinavyofanywa na wanaofukua makaburi, wilayani…

Soma Zaidi »
Back to top button