Wanawake

Wanawake Dodoma changamkieni fursa za kiuchumi

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini  Anthony Mavunde amewataka wanawake wa Dodoma kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo mkoani hapo…

Soma Zaidi »

Bibi Titi Mohamed: Mwanamajumui wa Afrika

WAKATO leo ni kilele cha Tamasha la Kumbukumbu ya mzalendo wa Kiafrika, mpigania Uhuru na muasisi wa Umoja wa Wanawake…

Soma Zaidi »

Tamu na chungu miaka 36 ya TAMWA

“WAKATI Chama cha Wanahabari Wanawake (TAMWA) kinaanzishwa mwaka 1987, kulikuwa na vitendo vingi vya unyanyasaji wa kijinsia pamoja na vitendo…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maelekezo watendaji wanawake

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, ameagiza kuimarishwa kwa kanzi data ya viongozi na maofisa watendaji wakuu wanawake katika sekta ya umma…

Soma Zaidi »

Soka la wanawake na unyanyapaa michezoni

TANZANIA ni mfano wa mataifa ya kuigwa yaliyopiga hatua kwenye soka la wanawake, kwa kushiriki Kombe la Dunia kwa wanawake…

Soma Zaidi »

Dakika 120 za kurekebisha maumbo ya wanawake 4 Muhimbili-Mloganzila

DAR ES SALAAM: JOPO la madaktari limetumia jumla ya saa mbili kuwafanyia upasuaji wa kurekebisha  maumbo ya wanawake wanne kwa…

Soma Zaidi »

Mazungumzo yafanyika kusaidia gharama taulo za kike

DAR ES SALAAM; NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Makundi Maalum, Mwanaidi Ali Khamis amesema mazungumzo baina ya…

Soma Zaidi »

Kituo kusaidia wasichana kujengwa

MKURUGENZI Mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Msichana Initiative, Rebecca Gyumi amesema katika Mpango Mkakati wa miaka mitano wanatarajia…

Soma Zaidi »

TCD wazindua Jukwaa la Wanawake

DAR ES SALAAM; Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), leo kimezindua rasmi Jukwaa la Wanawake na  wadau wa demokrasia nchini kwa…

Soma Zaidi »

‘Maendeleo ya teknolojia yamguse mwanamke’

ARUSHA; KASI ya maendeleo ya teknolojia lazima yamguse mwanamke kutokana na wanawake hasa wa vijijini kwani nao wana mchango mkubwa…

Soma Zaidi »
Back to top button