Africa

Mwanahabari auawa Msumbiji

MWANDISHI wa habari kutoka Msumbiji, João Chamusse amekutwa ameuawa eneo la nyumba yake nje kidogo ya mji mkuu Maputo katika…

Soma Zaidi »

Dola bilioni 5 kuzalisha umeme Msumbiji

MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme…

Soma Zaidi »

Somalia yafutia deni la Dola milioni 4.5

SERIKALI ya Somalia imefanya sherehe katika mji mkuu wa Mogadishu, baada ya IMF na Benki ya Dunia kutangaza msamaha wa…

Soma Zaidi »

Hakuna visa kuingia Kenya

KENYA; Nairobi. Kenya inatarajiwa kuwa nchi isiyo na visa mwanzoni mwa mwaka 2024. Rais wa Kenya, Wiliam Ruto amesema hakuna…

Soma Zaidi »

Mhasibu Afrika Kusini jela miaka 50 kwa ubadhirifu wa fedha

Hildegard Steenkamp, mhasibu wa zamani wa kampuni ya afya katika jimbo la Gauteng, Afrika Kusini, amehukumiwa kifungo cha miaka 50…

Soma Zaidi »

Uchumi Msumbiji kukuwa kwa asilimia 5.5 mwaka 2024

MSUMBIJI inaona ukuaji wa uchumi ukiongezeka hadi 5.5% mwaka ujao lakini nakisi ya bajeti yake ikiongezeka hadi 10.4% ya pato…

Soma Zaidi »

Zimbabwe, Botswana kusafiri bila pasipoti

MATAIFA ya Zimbabwe na Botswana yanafanyia kazi mpango wa kufuta mahitaji ya hati ya kusafiria ‘pasipoti’ kwa raia wa nchi…

Soma Zaidi »

Mashirika Afrika yatoa hoja tano uwezeshaji nishati mbadala COP28

MASHIRIKA ya Kiraia ya Afrika (CSOs) yametoa tamko lenye hoja tano kuhusu malengo ya nishati mbadala kwa Afrika katika Mkutano…

Soma Zaidi »

Wachimbaji migodini hawajaonekana Zambia

MAOFISA nchini Zambia wameshindwa kupata makumi ya wachimbaji haramu wanaoaminika kunaswa baada ya maporomoko ya udongo kwenye mgodi wa shaba…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu mstaafu Rwanda afariki

WAZIRI Mkuu wa zamani wa Rwanda na mkosoaji mkubwa wa serikali ya Rais Paul Kagame amefariki akiwa uhamishoni nchini Ubelgiji.…

Soma Zaidi »
Back to top button