Africa

Makomando watano wapotea Senegal

MAKOMANDO wanamaji watano wa Senegal wametoweka tangu Ijumaa wakati mashua inayoshukiwa kusafirisha dawa za kulevya ilipotegwa katika ufuo wa mji…

Soma Zaidi »

RSF wako tayari kuleta amani Sudan

KIKOSI cha Msaada wa Haraka cha Sudan (RSF) kimesema kipo tayari kusimamisha mapigano mara moja bila masharti kupitia mazungumzo na…

Soma Zaidi »

Wapinzani wengine wa Tshisekedi wakubali yaishe

WAGOMBEA wengine wawili walioshiriki uchaguzi wa rais mwezi uliopita nchini DR Congo wameeleza hawatapeleka suala hilo mahakamani. Kundi kubwa la…

Soma Zaidi »

Mlipuko lori la mafuta 40 wafa Liberia

TAKRIBAN watu 40 wamekufa kufuatia mlipuko wa lori la gesi Kaskazini mwa Liberia, ofisa mkuu wa matibabu, Francis Kateh, amesema.…

Soma Zaidi »

Waandamaji DR Congo, polisi watumia mabovu ya machozi

POLISI nchini DR Congo wamelazimika kutumia mabovu ya machozi kutawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa upinzani katika mji mkuu Kinshasa…

Soma Zaidi »

Mafuriko yauwa watu 22 Dr Congo

MFAURIKO yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati mwa DR Congo yamesababisha vifo vya takriban watu 22, wakiwemo 10 wa familia moja,…

Soma Zaidi »

Wapiganaji 80 Al-Shabab wauawa

MOGADISHU, Somalia:  WAPIGANAJI 80 wa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab wameuawa katika operesheni za kijeshi na Jeshi la Somalia katika…

Soma Zaidi »

Tshisekedi aongoza kura za urais

DR CONGO: TUME ya Uchaguzi ya DR Congo (CENI) imeendelea kutoa matokeo ya uchaguzi wa rais kwa baadhi ya maeneo…

Soma Zaidi »

Mapigano Nigeria, 16 wauawa

WATU 16 wameuawa katika shambulizi Kaskazini mwa Nigeria baada ya kutokea mapigano kati ya wafugaji na wakulima, taarifa ya mtandao…

Soma Zaidi »

Walinda amani kuondoka DR Congo

WANAJESHI wa mwisho wa kikosi cha Kanda ya Afrika Mashariki wanaondoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, zaidi ya mwaka mmoja…

Soma Zaidi »
Back to top button