Asia

Treni ya mizigo ya gonga treni ya abiria na kuua

NEW DELHI – Treni ya mizigo imegonga treni ya abiria katika jimbo la West Bengal, mashariki mwa India siku ya…

Soma Zaidi »

Moto wauwa watoto hospitalini India

NEW DELHI, India: WATOTO saba waliozaliwa hivi karibuni wamefariki dunia katika ajali ya moto uliotokea katika hospitali ya watoto katika…

Soma Zaidi »

Mapya yaibuka kuhusu Mkutano wa Uswisi wa Amani

Uswisi imetangaza kuwa imealika zaidi ya wajumbe 160 kutoka duniani kote kushiriki katika mkutano wa amani wa Ukraine mnamo Juni…

Soma Zaidi »

Waziri wa ulinzi China aondolewa

WAZIRI wa Ulinzi wa China, Li Shangfu amefutwa kazi leo ikiwa ni miezi miwili baada ya kutoonekana hadharani bila maelezo…

Soma Zaidi »

Kijiji cha Kiafrika kuanzishwa Urusi

URUSI, Moscow: Sehemu ya kijiji kati ya Moscow na St. Petersburg imetengwa kuwa eneo la ‘Kijiji cha Kiafrika’ taarifa kutoka…

Soma Zaidi »

India yaanza kuunda mfumo ulinzi wa anga

INDIA, New Delhi: India imeanza kutekeleza mradi wenye thamani ya dola za Marekani bilioni 2.5 (Sh trilioni 6) wa kuunda…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 20 kuweka kambi China

WANAFUNZI 20 kutoka Tanzania wamekwenda China kwa ajili ya kambi ya majira ya kiangazi kujifunza utamaduni wa kichina ambao utawahamasisha…

Soma Zaidi »

Putin atishia kutwaa maeneo mengine Ukraine

URUSI: Rais wa Urusi Vladimir Putin ametishia kuwa anaweza kuamuru wanajeshi wake kunyakua ardhi zaidi nchini Ukraine ili kulinda eneo…

Soma Zaidi »

Kuruta aua askari 2 akijifunza kutumia bunduki

JAPAN: Mwanafunzi wa jeshi mwenye umri wa miaka 18 aliwapiga risasi wanajeshi wenzake watatu kwenye eneo la kufyatulia risasi katika…

Soma Zaidi »

78 wafa wakisubiri msaada wa Ramadhani

WATU 78 wamekufa na wengine 13 wamejeruhiwa baada ya kutokea vurugu kwenye shule moja katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa…

Soma Zaidi »
Back to top button