Kimataifa

Ujerumani kukiwasha dhidi ya Scotland leo

ERBIL – Michuano ya UEFA ya Soka ya Ulaya (Euro 2024) itaanza leo usiku saa nne, Ijumaa, Juni 14, 2024,…

Soma Zaidi »

Ndege yapotea ikiwa na Makamu wa Rais Malawi

Ndege ya kijeshi iliyombeba Makamu wa Rais wa Malawi na watu wengine tisa imepotea, na jitihada za utafutaji zinaendelea, ofisi…

Soma Zaidi »

Bunge Ufaransa lapigwa chini, uchaguzi mpya waja

PARIS; Ufarasansa; RAIS wa Ufaransa Emmanuel Macron, ametangaza kuvunjwa kwa Bunge la taifa na kuandaa uchaguzi mpya wa wabunge, baada…

Soma Zaidi »

Wanajeshi wanaotaka kujitenga waua watu 11 Nigeria

Abia, NIGERIA: JESHI la Nigeria limesema watu wanaotaka kujitenga wamewaua watu 11 katika shambulio la la kustukiza kwenye kituo cha…

Soma Zaidi »

Moto wauwa watoto hospitalini India

NEW DELHI, India: WATOTO saba waliozaliwa hivi karibuni wamefariki dunia katika ajali ya moto uliotokea katika hospitali ya watoto katika…

Soma Zaidi »

Mapya yaibuka kuhusu Mkutano wa Uswisi wa Amani

Uswisi imetangaza kuwa imealika zaidi ya wajumbe 160 kutoka duniani kote kushiriki katika mkutano wa amani wa Ukraine mnamo Juni…

Soma Zaidi »

Moto waua 14 Vietnam

MOTO uliozuka katika jengo la makazi katika mji mkuu wa Vietnam, Hanoi umesababisha vifo vya watu 14 na kujeruhi wengine…

Soma Zaidi »

Mamia wahofiwa kufa maporomoko New Guinea

MVUA kubwa imeipiga milima ya Papua nchini New Guinea, maofisa wa eneo hilo na makundi ya misaada wamesema watu kadhaa…

Soma Zaidi »

Jukwaa la kampeni laporomoka nchini Mexico laua watu tisa

Mexico City, MEXICO: BARAZA la Mawaziri la Mexico limesema kuwa jengo moja limeporomoka baada ya upepo mkali kuvuma katika mkutano…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu wa Chad ajiuzulu baada ya mshindi wa kura kuthibitishwa

N’Djamena, CHAD: WAZIRI Mkuu wa Chad Succes Masra ametangaza kuwasilisha barua yake ya kujiuzulu Jumatano leo, ikiwa wiki kadhaa zimepita…

Soma Zaidi »
Back to top button