Kimataifa

Putin kuwashughulikia wahusika shambulizi lililouwa watu 115

KREMLIN, Urusi: RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amewatahadharisha wahusika wa shambulizi lililowaua watu zaidi ya 115 eneo la Crocus City…

Soma Zaidi »

Vifo shambulio la kigaidi Moscow vyafikia 115

MOSCOW, Russia: KAMATI ya Uchunguzi ya Urusi imetangaza kuwa idadi ya watu waliouawa kutokana na shambulio la kigaidi kwenye jumba…

Soma Zaidi »

Putin ashinda urais Urusi

MOSCOW, Urusi: RAIS wa Urusi, Vladimir Putin ameshinda uchaguzi wa rais kwa 87.97% ya kura, kulingana na matokeo rasmi ya…

Soma Zaidi »

Watu 11 wakamatwa Nigeria kisa kula mchana

POLISI wa Kiislamu wanaofahamika kwa jina la Hisbah Kaskazini mwa Jimbo la Kano nchini Nigeria wamewakamata waislamu 11 kwa kula…

Soma Zaidi »

Wawili wapoteza maisha ajali Kenya

WATU wawili wanahofiwa kufa baada ya gari la shule ya wavulana Kapsabet kupinduka katika Jimbo la Baringo nchini Kenya leo.…

Soma Zaidi »

Makamba ashiriki mkutano Baraza la Mawaziri AU

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ameshiriki Mkutano Maalum wa 22…

Soma Zaidi »

Hakuna uchaguzi Mei 2- PM Uingereza

WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amesema Mei 2, mwaka huu hakutakuwa na uchaguzi mkuu. Mapema mwaka huu, Sunak alipendekeza…

Soma Zaidi »

India yaanza kuondoa wanajeshi wake Maldives

NEW DELHI, Maldives: TAARIFA ya Rais wa Jamhuri ya Maldives Dk Mohamed Muizzu kwa wananchi wa taifa hilo kwamba wanajeshi…

Soma Zaidi »

Rais Ufaransa kuwasilisha mswada usaidizi wa kufa

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron anakusudia kupendekeza mswada wa kuhalalisha msaada wa kufa kwa wagonjwa mahututi. Katika mahojiano yaliyochapishwa leo…

Soma Zaidi »

Rais Ivory Coast kugombea tena

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Koudou Gbagbo Laurent amekubali kugombea urais katika uchaguzi wa 2025. Koudou Gbagbo alikubali kuongoza…

Soma Zaidi »
Back to top button