Kimataifa

Kagame kuwania tena urais

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amechaguliwa na chama chake cha Rwandan Patriotic Front (RPF) kuwa mgombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa…

Soma Zaidi »

Mafuriko yauwa 19 Indonesia

MVUA kubwa iliyosababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi katika kisiwa cha Sumatra nchini Indonesia, imeuwa takriban watu 19 na wengine…

Soma Zaidi »

Biden kusaini sheria marufuku ya Tiktok Marekani

WASHINGTON: Rais wa Marekani, Joe Biden amesema atasaini mswada ambao utaifungia na kuiondoa kampuni ya mtandao wa TikTok sambamba na…

Soma Zaidi »

Msanifu majengo Uingereza aalikwa Tanzania

BALOZI wa Tanzania nchini Uingereza amemualika msanifu nguli wa majengo nchini Uingereza, Sir David Adaje kufanya ziara nchini Tanzania kwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi zaidi ya 200 watekwa Nigeria

WANAFUNZI zaidi 200 nchini Nigeria wametekwa na watu wenye silaha katika mji uliopo Kaskazini wa Kuriga. Idadi ya waliotekwa kutoka…

Soma Zaidi »

Uturuki, Somalia kushirikiana kwenye mafuta, gesi

UTURUKI imesaini mkataba wa ushirikiano wa mafuta na gesi asilia baharini na Somalia , Wizara ya Nishati ya Uturuki ilisema.…

Soma Zaidi »

UN yataka usitishwaji mapigano Sudan

KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja mapigano nchini Sudan. Antonio Guterres alizitaka pande zinazozozana…

Soma Zaidi »

Theresa May kuachia ubunge

WAZIRI Mkuu mstaafu wa Uingereza, Theresa May ametangaza kuwa atajiuzulu kama mbunge katika uchaguzi mkuu ujao. Katika taarifa yake kiongozi…

Soma Zaidi »

Ndege yaua watano Burkina Faso

WATU watano wamekufa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ndege moja iliyokuwa imebeba watu saba kuanguka baada ya kushindwa kuruka Mashariki…

Soma Zaidi »

Nigeria yakamata lori 21 za chakula zikienda nje

NIGERIA imekamata malori 21 yakiwa na chakula kuelekea Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Cameroon huku kukiwa na uhaba…

Soma Zaidi »
Back to top button