Kimataifa

Helikopta KDF yaanguka Kenya

HELIKOPTA ya Kikosi cha Ulinzi cha Kenya (KDF) imeanguka huko Lamu na kusababisha vifo miongoni mwa wafanyakazi na wanajeshi. –…

Soma Zaidi »

Mwanamuziki Whittaker afariki dunia

“Nenda sehemu yoyote kila mtu ana sehemu yake aliyozaliwa kwangu mimi ni Kenya” ni shairi linalopatikana kwenye wimbo wa ‘My…

Soma Zaidi »

Watu 17 wafa maporomoko ya udongo Lisala

WATU 17 wameuawa katika maporomoko ya udongo huko DR Congo. – Maafa hayo yalitokea usiku wa kuamkia Jumapili karibu na…

Soma Zaidi »

Ajali yaua 20 Limpopo

TAKRIBANI watu 20 wamefariki nchini Afrika Kusini baada ya kutokea ajali barabarani katika jimbo la kaskazini la Limpopo. Waathirika wa…

Soma Zaidi »

Libya yatangaza hali ya dharura

SERIKALI ya Libya imetangaza hali ya dharura ya mwaka mzima kwa lengo la kuzuia kuenea magonjwa ya kuambukiza katika maeneo…

Soma Zaidi »

Mstaafu Kikwete kutoa shule ya Uongozi Harvard

BOSTON, U.S.A: Rais Mstaafu  Dk. Jakaya Mrisho Kikwete yuko jijini Boston, Marekani, kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa…

Soma Zaidi »

Safari za ndege zaahirishwa upungufu wafanyakazi

UPUNGUFU wa wafanyikazi katika udhibiti wa trafiki ya anga katika Uwanja wa Ndege wa Gatwick wa London ulilazimisha safari za…

Soma Zaidi »

Waliokufa mafuriko wafikia 11,000 Libya

IDADI ya waliofariki kutokana na mafuriko katika mji wa Pwani wa Derna nchini Libya imeongezeka hadi 11,300. Juhudi za utafutaji…

Soma Zaidi »

Rais Misri apendekeza sera ya mtoto mmoja

MISRI: Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi amewataka Wamisri kuwa na watoto wachache, akisema kwamba kiwango cha sasa cha kuzaliana…

Soma Zaidi »

Mahakama yatupiliambali pingamizi kwa Rais Tinubu

NIGERIA: Mahakama ya uchaguzi wa rais nchini Nigeria imetupilia mbali hoja za wapinzani kupinga ushindi wa Bola Tinubu katika uchaguzi…

Soma Zaidi »
Back to top button