Kimataifa

Kanisa laporomoka na kuua tisa wakati wa Ibada

MEXICO: Takriban watu tisa – wakiwemo watoto watatu – wameuawa na makumi wengine wakibaki wamenasa kwenye vifusi baada ya paa…

Soma Zaidi »

Ilebaye ashinda Big Brother Naija – All Stars

LAGOS, Nigeria: Mjasiriamali na Mwanamitindo Ilebaye Odiniya ameibuka mshindi katika msimu wa nane wa shindano la runinga Big Brother Naija…

Soma Zaidi »

Nyangumi apindua mashua, mmoja afariki

MTU mmoja amekufa na mwingine amelazwa hospitalini huko Australia baada ya nyangumi kugonga na kupindua mashua yao ndogo wakati wakifanya…

Soma Zaidi »

Mlipuko wauwa watu 57 Pakistan

WATU 57 wameuawa na wengine 60 kujeruhiwa katika shambulizi la kujitoa muhanga karibia na eneo lenye misikiti miwili wakati wa…

Soma Zaidi »

Mwigizaji Gambon afariki dunia

MWIGIZAJI Michael Gambon kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa hospitalini, taarifa ya familia imeeleza. – Gambon,82, filamu kadhaa za Harry Potter.…

Soma Zaidi »

Moto waua watu 100 harusini

ZAIDI ya watu 100 wamekufa na wengine 150 kujeruhiwa baada ya moto kuzuka kwenye sherehe ya harusi Mkoa wa Nineveh…

Soma Zaidi »

Ufaransa kuondoa ubalozi, wanajeshi Niger

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron amesema nchi yake itauondoa balozi na wanajeshi wake kutoka Niger kufuatia mapinduzi ya Julai yaliyompindua…

Soma Zaidi »

Sunak kupiga marufuku sigara Uingereza

LONDON, Septemba 23 – WAZIRI Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak anafikiria kuanzisha hatua zitakazopiga marufuku matumizi ya sigara kwa kizazi…

Soma Zaidi »

Mpango asisitiza amani Umoja wa Mataifa

MAREKANI, New York: Tanzania imeunga mkono juhudi za kulinda amani ikitoa wito wa ushirikiano wa kimataifa katika kipindi ambacho mataifa…

Soma Zaidi »

Kagame autaka tena urais

RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema atawania muhula wa nne katika uchaguzi wa rais mwaka ujao. – “Ndiyo, hakika mimi…

Soma Zaidi »
Back to top button