Kimataifa

Kim Jong Un kuonana na Putin Urusi

URUSI: KIONGOZI wa Korea Kusini, Kim Jong amepanga kwenda Urusi kuonana na Rais Vladimir Putin kujadili uwezekano wa kuwaongeza silaha…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa kijeshi Gabon aapishwa kuwa rais

GABON: Kiongozi wa kijeshi nchini Gabon, Brice Nguema, ameapishwa kuwa rais wa mpito wa taifa hilo. – Jenerali Nguema aliongoza…

Soma Zaidi »

Mnangagwa kuapishwa leo

RAIS wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa anatarajiwa kuapishwa leo kwa muhula wa pili wa nafasi ya urais. – Kiongozi huyo alishinda…

Soma Zaidi »

Aliyekuwa mmiliki wa Fulham, Harrods afariki dunia

BILIONEA Mohamed al-Fayed, mzaliwa wa Misri ambaye mwanawe alikufa katika ajali ya gari na Princess Diana wa Uingereza, amefariki akiwa…

Soma Zaidi »

Afrika kwa Urusi, Urusi kwa Afrika

URUSI, Saint-Petersburg Kwa mujibu wa Yuri Korobov: hali ya kulegalega ya kiuchumi ya kimataifa inaweza kutumika kama msukumo mkubwa kwa…

Soma Zaidi »

Ufaransa kupiga marufuku Abaya

UFARANSA inakusudia kupiga marufuku wanafunzi kuvaa ‘Abaya’ vazi lisilobana lenye urefu linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu katika shule…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu wa zamani Thailand jela miaka 8

ALIYEKUWA Waziri Mkuu Thailand, Thaksin Shinawatra amefungwa jela mara baada ya kuwasili nchini humo baada ya miaka 15 uhamishoni. Thaksin,…

Soma Zaidi »

Wapalestina 200 wameuawa mwaka huu

ZAIDI ya Wapalestina 200 na Waisraeli 30 wameuawa mwaka huu katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa na Israel kutokana na ghasia…

Soma Zaidi »

Watu kadhaa wahofiwa kufa ajali ya boti Cape Verde

WATU kadhaa wamekufa na wengine 38 kuokolewa katika ajali ya boti Cape Verde. Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeonya…

Soma Zaidi »

Trump atakiwa kujisalimisha

ALIYEKUWA Rais wa Marekani, Donald Trump amefunguliwa mashtaka ya ulaghai na msururu wa uhalifu katika uchaguzi mkuu wa 2020 katika…

Soma Zaidi »
Back to top button