Kimataifa

Tehran yatilia shaka dhamira ya Marekani

URUSI: WAZIRI wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametilia shaka nia ya Marekani siku moja kabla ya duru…

Soma Zaidi »

Serikali: Tutazuia mazao ya Afrika Kusini, Malawi

Bashe alieleza kuwa notisi hiyo itaanza kutekelezwa kuanzia Jumatano wiki ijayo kama serikali isipopata mrejesho

Soma Zaidi »

Ujumbe wa Rais Samia kwa Kapteni Ibrahim wa Burkina Faso

OUAGADOUGOU – Mjumbe Maalum wa Rais Samia Suluhu Hassan, na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete,…

Soma Zaidi »

Mkutano wa pili wa nyuklia kufanyika Italia

ROME : VIONGOZI wa Ghuba na Mashariki ya Kati wameanza ziara katika mataifa mbalimbali kabla ya mkutano wa pili wa…

Soma Zaidi »

Marekani, Ulaya, Ukraine kujadili mzozo wa Urusi

PARIS : VIONGOZI wa ngazi za juu wa Marekani, Umoja wa Ulaya na Ukraine wanatarajiwa kukutana Alhamisi mjini Paris kujadili…

Soma Zaidi »

Watu 50 wapoteza maisha DR Congo

DR CONGO : BOTI ya mbao iliyokuwa na abiria wapatao 400 ilishika moto na kupinduka karibu na mji wa Mbandaka.…

Soma Zaidi »

Amnesty yabaini ukandamizaji wa haki za binadamu Msumbiji

MSUMBIJI : SHIRIKA la Kimataifa la Kutetea Haki za Binadamu, Amnesty International,limetangaza kwamba vikosi vya usalama vya Msumbiji viliendesha operesheni…

Soma Zaidi »

QATAR kufadhili Jeshi la Lebanon

DOHA : SERIKALI ya Qatar imetangaza mpango wa kutoa ruzuku ya dola milioni sitini kufadhili mishahara ya jeshi la Lebanon…

Soma Zaidi »

Wabunge wa Latvia wajiondoa katika mkataba wa mabomu ya ardhi

LATVIA : WABUNGE nchini Latvia wameamua kuchukua hatua muhimu  ya kupiga kura  ya kuiondoa nchi hiyo kwenye mkataba wa kupiga…

Soma Zaidi »

XI Jinping yuko Cambodia

CAMBODIA : RAIS Xi Jinping wa China amewasili Cambodia ambapo kitakuwa kituo cha mwisho cha ziara yake ya kuyatembelea mataifa…

Soma Zaidi »
Back to top button