Kimataifa

Rais Museveni kugombea tena urais

UGANDA : RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni (80), ametangaza rasmi nia ya kugombea tena urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

TikTok yapata mnunuzi, majina yahifadhiwa

WASHINGTON DC : RAIS wa Marekani, Donald Trump, amesema kuna kundi la wawekezaji wenye uwezo mkubwa kifedha walioko tayari kununua…

Soma Zaidi »

Ukraine kujiondoa kwenye Mkataba wa Ottawa

KYIV, UKRAINE : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy, ametia saini amri ya kuiondoa rasmi nchi yake kutoka kwenye Mkataba wa…

Soma Zaidi »

Wachimbaji 11 wa dhahabu wapoteza maisha

KHARTOUM : KAMPUNI ya Rasilimali ya Madini Sudan (SMRC) imethibitisha kuwa wachimbaji 11 wa dhahabu wamefariki dunia baada ya kuangukiwa…

Soma Zaidi »

Iran yaikosoa Israel kuhusu usitishaji mapigano

TEHRAN : SERIKALI ya Iran imetangaza kutokuwa na imani na hatua ya Israel ya kutangaza usitishaji wa mapigano, ikisema bado…

Soma Zaidi »

Iran yaitahadharisha Marekani kuhusu mashambulio

TEHRAN: KIONGOZI Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei, amesema taifa lake liko tayari kujibu kwa nguvu kubwa endapo Marekani itafanya…

Soma Zaidi »

Wapalestina 56 wauawa Gaza

GAZA, PALESTINA : IDARA ya Ulinzi wa Raia katika Ukanda wa Gaza imethibitisha kuwa watu 56 wameuawa Alhamisi, Juni 26,…

Soma Zaidi »

Watoto Milioni 15.7 Wabaki Bila Chanjo

UINGEREZA : JUHUDI za utoaji chanjo kwa watoto duniani zimeripotiwa kusuasua tangu mwaka 2010, hali inayoweka mamilioni ya watoto katika…

Soma Zaidi »

NATO yakubali kuongeza Bajeti ya Ulinzi

THE HAGUE, UHOLANZI : KATIBU Mkuu mpya wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO, Mark Rutte, amesema hatua ya kuongeza bajeti…

Soma Zaidi »

Reli ya kasi yaunganisha China na Urusi

HEILONGJIANG:SERIKALI ya China imekamilisha ujenzi wa tundu jipya la reli lenye urefu wa mita 602 katika mji wa Suifenhe, Heilongjiang,…

Soma Zaidi »
Back to top button