Kimataifa

India yatuhumiwa kutaka kuishambulia Pakistan

ISLAMABAD: SERIKALI ya Pakistan imedai kuwa ina ushahidi wa kijasusi na wa kuaminika unaoonesha kuwa India inapanga kuishambulia katika muda…

Soma Zaidi »

UN yataka uchunguzi mauaji Mali

BAMAKO: WATAALAMU huru wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa mamlaka za Mali kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina…

Soma Zaidi »

Iran, Marekani kurejea kwenye mazungumzo

ROME : IRAN imetangaza kuwa inatarajia kurejea mezani na Marekani kwa mazungumzo kuhusu mpango wake wa nyuklia, yatakayofanyika mjini Rome,…

Soma Zaidi »

Mazungumzo ya amani DRC, Rwanda yaendelea Doha

DOHA: MJUMBE Maalum wa Rais wa Marekani, Donald Trump, kuhusu masuala ya Afrika, Massad Boulos, amekutana leo mjini Doha na…

Soma Zaidi »

Marekani yaitetea Israel kuzuia misaada Gaza

UHOLANZI : MAREKANI imeitetea Israel mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kuhusu uamuzi wake wa kuzuia misaada ya…

Soma Zaidi »

DRC: ICRC yaanza kuhamisha wanajeshi waliokwama Goma

GOMA : KAMATI ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) imeanza rasmi zoezi la kuhamisha mamia ya wanajeshi na polisi wa…

Soma Zaidi »

Hungary yapiga kura kujiondoa ICC

HUNGARY : BUNGE la Hungary limepiga kura kuunga mkono kujiondoa kwa nchi hiyo kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC),…

Soma Zaidi »

Vietnam kuwaachia huru wafungwa 8,000

HANOI: SERIKALI ya Vietnam imepanga kuwaachia huru wafungwa zaidi ya 8,000, wakiwemo raia 25 wa kigeni kutoka mataifa tisa, ikiwa…

Soma Zaidi »

China, Urusi waongoza mitambo ya nyuklia

BEIJING : MATAIFA ya China na Urusi yameibuka vinara wa maendeleo ya teknolojia ya nyuklia duniani, baada ya kubainika kuwa…

Soma Zaidi »

BRICS yapingana na ushuru wa Trump

BRAZIL : SERA mpya za ushuru zilizowekwa na Rais wa Marekani, Donald Trump, zimechukua nafasi kubwa katika ajenda ya mkutano…

Soma Zaidi »
Back to top button