Kimataifa

Vyombo vya habari vyashambuliwa Haiti

HAITI : UMOJA wa Mataifa umeonya kuhusu ongezeko la mashambulizi dhidi ya vyombo vya habari nchini Haiti, akisema kuwa vyombo…

Soma Zaidi »

Marekani, Ukraine kusaini mkataba wa madini maliasili

WASHINGTON DC: RAIS Donald Trump amesema kuwa Marekani inatarajia hivi karibuni kufikia makubaliano na Ukraine ili kusaini mkataba wa madini…

Soma Zaidi »

Mjadala wa Ukraine bado unaendelea

WASHINGTON DC : RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amefanya mazungumzo ya simu na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, ambapo wamekubaliana…

Soma Zaidi »

Dk Suleiman Haji akutana na ujumbe Tz mkutano CSW Marekani

KAIMU Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa NewYork nchini Marekani Balozi Dk Suleiman Haji Suleiman amekutana na…

Soma Zaidi »

Rais Tinubu atangaza hali ya hatari Rivers

NIGERIA: RAIS wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ametangaza hali ya hatari katika jimbo la Rivers kufuatia mapigano ya kisiasa yaliyozua…

Soma Zaidi »

Mali yajiondoa mataifa ya Francophonie

BAMAKO: SERIKALI ya Mali imetangaza rasmi kujiondoa katika Muungano wa Kimataifa wa Nchi Zinazozungumza Kifaransa (Francophonie), hatua inayofuata baada ya…

Soma Zaidi »

Wanaanga waliokwama warejea duniani

MAREKANI : WANAANGA wawili wa Shirika la Marekani la Sayansi na Teknolojia ya Angani (NASA), Butch Wilmore na Suni Williams,…

Soma Zaidi »

Jaji aizuia serikali kufunga USAID

MAREKANI: JAJI mmoja wa Marekani ameizuia serikali ya Marekani na bilionea Elon Musk kutochukua hatua zaidi za kulifunga Shirika la…

Soma Zaidi »

Rais wa Somalia anusurika shambulizi la bomu

MOGADISHU: Bomu lililotegwa kando ya barabara limelipuka jana nje ya kasri ya rais nchini Somalia, likilenga msafara wa rais. Taarifa…

Soma Zaidi »

Tshisekedi , Kagame wakubaliana kuyamaliza mapigano

DOHA: RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Felix Tshisekedi, na mwenzake wa Rwanda, Paul Kagame, wamefanya mazungumzo ya ana…

Soma Zaidi »
Back to top button