Gesi
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
-
Mitungi ya mil 100 yagaiwa wakazi Dar
KAMPUNI ya Total Energys imetoa mitungi ya gesi 2,000 yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 100 ili kuwakinga wanawake…
Soma Zaidi » -
Kituo cha kujaza gesi CNG chakamilika asilimia 90
BODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania(TPDC) imesema kituo mama cha kushindilia na kujaza gesi…
Soma Zaidi » -
Samia aweka jiwe Msingi ujenzi LPG Termianl GBP Gas Tanga
Soma Zaidi » -
Wajasiriamali 30 wanufaika na mitungi ya gesi Dar
KAMPUNI Udhamini wa mchezo wa ndodi ya Mafia imegawa mitungi ya gesi kwa mama lishe eneo la Magomeni Sokoni jijini…
Soma Zaidi » -
Samia atabiri mema nishati safi ya kupikia
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kutokana na kasi kubwa ya utekelezaji wa mkakati wa kusambaza nishati safi ya kupikia, nchi…
Soma Zaidi » -
Biteko ateta na Jumuiya ya Wasambazaji mitungi ya gesi nchini
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Jumuiya ya Kampuni zinazohusika na…
Soma Zaidi » -
Taasisi zaongezwa miezi 5 kupika kwa nishati safi
SERIKALI imeagiza taasisi zikiwemo shule zenye wanafunzi zaidi ya 100 ziache kutumia kuni na mkaa ifikapo Juni mwaka huu. Waziri…
Soma Zaidi » -
REA yaanza kusambaza mitungi ya gesi 13,020 Mkoani Songwe
SONGWE : WAKALA wa Nishati Vijijini (REA), kwa kushirikiana na kampuni ya Oryx Gas Tanzania Limited, imeanza rasmi kusambaza mitungi…
Soma Zaidi » -
Algeria, Nigeria, Niger kusafirisha gesi asilia Ulaya
ALGERIA : MAAFISA kutoka nchi za Algeria, Nigeria na Niger wamesaini mikataba mipya inayolenga kuharakisha uendelezaji wa bomba kubwa la…
Soma Zaidi » -
Tanzania yakaribisha wawekezaji vituo vya kujaza gesi vijijini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amesema Tanzania inakaribisha uwekezaji kutoka Uingereza kwa ajili ya ujenzi…
Soma Zaidi »