Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Mbeya yakusanya bil 2.3/- madini

MKOA wa Mbeya umekusanya jumla ya Sh bilioni 2.3 sawa na asilimia 63 ya lengo la mwaka kati ya Julai…

Soma Zaidi »

Wananchi Ntunduwaro wanufaika na Makaa ya Mawe

UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika kijiji cha Ntunduwaro kata ya Ruanda wilayani Mbinga ni chanzo kikubwa cha…

Soma Zaidi »

Mgodi wa Ndolela mwanga mpya kwa wananchi

MGODI wa Mawe wa Ndolela Quarry uliopo kijiji cha Ndolela jimbo la Isimani mkoani Iringa umeanza ujenzi wa Zahanati kwa…

Soma Zaidi »

Tanzania yakaribisha wawekezaji vituo vya kujaza gesi vijijini

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, amesema Tanzania inakaribisha uwekezaji kutoka Uingereza kwa ajili ya ujenzi…

Soma Zaidi »

Ajenda ya nishati safi inavyoibeba Tanzania

JANUARI 27, mwaka huu macho ya mataifa yote ya Afrika yataelekea Tanzania wakati Mkutano wa siku mbili wa Wakuu wa…

Soma Zaidi »

Iringa waenda Geita kujifunza sekta ya madini

GEITA; JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) Mkoa wa Iringa imefanya ziara ya mafunzo wilayani Geita kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Lambert Vissot: Vifaa vya kisasa muhimu uchimbaji madini

LAMBERT Vissot, maarufu kama “The Gem Hunter,” ambaye ni mtaalam mashuhuri katika uchimbaji madini ya vito amesema kinachowezesha mafaniko makubwa…

Soma Zaidi »

Mtaalamu Lambert Vissot aeleza mafaniko uchimbaji madini

MTAALAMU wa uchimbaji madini kutoka Kampuni ya Madini ya Vito Ruby International Limited, Lambert Vissot amesema kwa miaka ya hivi…

Soma Zaidi »

Wanawake wapatiwa leseni 355 uchimbaji madini Geita

MKOA wa kimadini wa Geita umefanikiwa kutoa jumla ya leseni za uchimbaji mdogo wa madini 355 kwa vikundi mbalimbali vya…

Soma Zaidi »

Zaidi ya mil 400 kusambaza mitungi ya gesi Dodoma

CHAMWINO, Dodoma: MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa cha sh 406,712,250 kwa Wakala…

Soma Zaidi »
Back to top button