Madini

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania, EU kushirikiana kufanya utafiti wa kina wa madini

DAR ES SALAAM: SERIKALI yaahidi kuendelea kushirikiana na Umoja wa Ulaya (EU) katika kufanya utafiti wa kina utakaosaidia kupata taarifa…

Soma Zaidi »

Karatu wachangamkia majiko ya ruzuku

WANANCHI wa wilayani Karatu mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi kujipatia majiko ya gesi ya kilo sita (LPG) yanayotolewa na serikali…

Soma Zaidi »

Kaya 19,530 kunufaika na majiko ya gesi Arusha

WAKALA wa Nishati Vijijini (REA) umeingia mkataba na mtoa huduma Kampuni ya Lake Gas Limited kwa ajili ya kutekeleza mradi…

Soma Zaidi »

Dk Kiruswa amaliza mgogoro kampuni za madini

NAIBU Waziri wa Madini, Dk Steven Kiruswa amemaliza mgogoro wa muda mrefu kati ya Kampuni ya Madini ya Paradiso na…

Soma Zaidi »

Wafanyakazi wa mgodi wa dhahabu Geita wagoma kula

Kwa mujibu wa makubaliano hayo, Mwajiri atawajibika kutoa msaada wa elimu kwa watoto wa wafanyakazi wake wanne wenye umri kati…

Soma Zaidi »

Majiko ya gesi kutolewa bei ya ruzuku Longido

SERIKALI kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza usambazaji wa majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita kwa bei ya…

Soma Zaidi »

Samia apigania ajira na nishati safi EAC

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesisitiza juu ya umuhimu wa juhudi za pamoja katika kukuza matumizi ya nishati safi ya kupikia…

Soma Zaidi »

Majaliwa ataka sekta ya madini kuwa na tija kiuchumi

DAR ES SALAAM:Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuiunga mkono sekta ya madini lengo likiwa ni kuona sekta hiyo…

Soma Zaidi »

Mavunde ataka sheria ifuatwe kuepuka migogoro madini

WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amewataka moafisa madini wakazi wa mikoa kuendelea kusimamia sheria kwenye utendaji kazi ili kuepuka migogoro…

Soma Zaidi »

Lekashingo aahidi ushirikiano madini

MWENYEKITI mpya wa Tume ya Madini, Janet Lekashingo ameahidi kufanya kazi kwa uadilifu, uaminifu na ushirikiano mkubwa na watumishi na…

Soma Zaidi »
Back to top button