Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Chino Kid kufanya kolabo ya kimataifa

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Chino Kid, anatarajia kutoa kolabo mpya na msanii anayeishi Marekani, Mudara, ikiwa ni jitihada…

Soma Zaidi »

Muziki ni biashara, usajili ni kinga

WASANII wa muziki nchini wametakiwa kusajili na kulinda kazi zao kupitia mifumo rasmi ya miliki bunifu ili kunufaika kiuchumi na…

Soma Zaidi »

Yao aonesha magumu anayopita

DAR ES SALAAM; BEKI wa kulia wa Yanga, Yao Kouassi amesema maisha ya mchezaji wa mpira si ya mafanikio tu,…

Soma Zaidi »

Wachezaji 500 vishale kuvaana Arusha

DAR ES SALAAM; WACHEZAJI 500 kutoka nchi za Afrika Mashariki wanatarajia kukutana katika michuano miwili ya wazi ngazi ya klabu…

Soma Zaidi »

Bodi ya filamu yamwita Wema Sepetu

BODI ya Filamu Tanzania imemuita muigizaji maarufu Wema Sepetu, almaarufu Chimama, kufika katika ofisi zao zilizopo Kivukoni, Dar es Salaam,…

Soma Zaidi »

Majaliwa mgeni rasmi tuzo za Wanamichezo Bora 2024

WAZIRI MKUU wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya tuzo za Wanamichezo…

Soma Zaidi »

PURA: Tumejaza gesi futi 301.33 miaka minne

DAR ES SALAAM: MAMLAKA ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli (PURA) imesema kwa kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi…

Soma Zaidi »

Timu 14 za bodaboda kuwania mil 3/-

TIMU 14 za waendesha bodaboda katika Manispaa ya Kigoma Ujiji na Buhigwe zimeanza mashindano ya ya mpira wa miguu kuwania…

Soma Zaidi »

Gabo Zigamba awatunuku tuzo waigizaji ‘Baraluko’

MWIGIZAJI wa filamu nchini Tanzania, Salim Ahmed ‘Gabo Zigamba’ ametoa tuzo kwa wasanii wake alioigiza nao tamthilia yake mpya iitwayo…

Soma Zaidi »

Filamu ya FESTAC ‘77’ kuwakilisha Afrika Cannes 2025

Kama unapenda filamu zenye mizizi ya kihistoria, zenye maana ya kina, na zinazotangaza utambulisho wa Kiafrika – basi hii ni…

Soma Zaidi »
Back to top button