Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Fountain Gate kujinoa ligi kuu

Timu ya Fountain GATE FC ambayo iko katika nafasi ya 8 kwa alama 25 kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya…

Soma Zaidi »

BMT yagharamia wachezaji 20 mashindano ya Dunia

BARAZA la Michezo la Taifa (BMT) limegharamia wachezaji 20 wa mchezo wa ngumi na Kabadi kwa ajili ya kuiwakilisha Tanzania…

Soma Zaidi »

Kivumbi Samia Women Super Cup 2025

VUMBI litatimka wakati wa mashindano ya Samia Women Super Cup iliyopangwa kufanyika mapema mwezi ujao ikihusisha klabu za JKT Queens,…

Soma Zaidi »

Minziro: Tunawaheshimu Yanga, wasituchukulie poa

KOCHA Mkuu wa Pamba Jiji, Fred Felix Minziro, amesema timu yake inatambua changamoto ya kucheza dhidi ya timu kubwa kama…

Soma Zaidi »

Dullah Mbabe nusura azichape kavukavu

DAR ES SALAAM; BONDIA wa ngumi za kulipwa Abdallah Pazi ‘Dulla Mbabe’, nusura azichape kavukavu na bondia kutoka Zambia, Mbachi…

Soma Zaidi »

Simba yatangaza vita ya ubingwa

TIMU ya Simba imekuja na kampeni ya kutafuta pointi 30 katika michezo 10 iliyobaki kushinda ubingwa Ligi Kuu Tanzania Bara.…

Soma Zaidi »

Yanga ubingwa, Pamba kisasi

YANGA watakuwa wageni wa Pamba Jiji kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza leo. Wakati…

Soma Zaidi »

Arteta awalilia Saka, Martinelli

LONDON, MENEJA wa Arsenal Mikel Arteta amesema anatumaini winga wake ukayo Saka na mshambuliaji Gabriel Martinelli watarejea kikosini kutoka majeruhi…

Soma Zaidi »

Kamwe: Hatutaki presha ‘Kariakoo Derby,’ tunajikita kwa Pamba

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe, ameweka wazi kuwa timu yake haitaki kujiwekea presha kwa kufikiria zaidi mchezo…

Soma Zaidi »

Twiga safi Wafcon

TWIGA Stars imefuzu hatua ya pili ya kufuzu Mataifa ya Afrika (WAFCON 2026) licha ya kutoka sare ya kufungana bao…

Soma Zaidi »
Back to top button