Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Serikali kuboresha ufaulu sayansi, hisabati na TEHAMA

ARUSHA: WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imeeleza kuwa inachukua hatua madhubuti kuboresha ufaulu wa masomo ya Sayansi, Hisabati, na…

Soma Zaidi »

Samsung kuimarisha ubunifu akili mnemba na matumizi ya kidijitali Tanzania

Dar es Salaam: Katika kuashiria ujio mpya wa teknolojia ya simu zinazotumia akili mnemba (AI), Samsung imekuja na toleo mpya…

Soma Zaidi »

Matukio mwaka 2024; Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi yazinduliwa

 DAR ES SALAAM; APRILI 3, mwaka huu Rais Samia Suluhu Hassan alizindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi. Tume hiyo…

Soma Zaidi »

Serikali kuongeza uwezeshaji katika bunifu, tafiti za ndani

SERIKALI itaendelea kutekeleza mikakati ya kuhakikisha Bunifu zinazozalishwa nchini na zinaingia sokoni pamoja na matokeo ya tafiti za wanasayansi kutumika…

Soma Zaidi »

Tunataka bunifu mpya na sio zilezile – Prof Mkenda

‎WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema Mfuko wa Ubunifu wa Samia,  umelenga kuwezesha wabunifu kubiasharisha bunifu…

Soma Zaidi »

Wizara ya Elimu yapokea vyuo kumi vya ufundi

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi amepokea Vyuo kumi vya Ufundi Stadi na Marekebisho…

Soma Zaidi »

Nishati ya umeme jua kupunguza hewa ukaa sekta ya uvuvi

TAASISI ya Utafiti wa Uvuvi Tanzania (TAFIRI), imeanza kufanya utafiti utakaozuia au kuepusha wachakataji wa mazao ya uvuvi ikiwemo dagaa…

Soma Zaidi »

Shule zatakiwa kuweka kipaumbele kwenye sayansi

DAR ES SALAAM: SHULE zinazosimamiwa na Shirika la Uzalishaji Mali Nchini (SUMA JKT) chini ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)…

Soma Zaidi »

“Wanahabari, Wizara ya Elimu Tushirikiane”

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Tecknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mshikamano na waandishi wa habari hapa nchini umeweza kunyanyua Sekta…

Soma Zaidi »

Benki, UDSM wakubaliana utafiti akili mnemba

BENKI ya NMB na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Ndaki ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (UDSM-CoICT) zimesaini makubaliano…

Soma Zaidi »
Back to top button