Bunge

Vipaumbele 9 Mpango wa Maendeleo wa Taifa vyaelezwa

DODOMA; WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Prof. Kitila Mkumbo amewasilisha bungeni Taarifa ya Hali ya Uchumi…

Soma Zaidi »

Serikali kuwasilisha bajeti yake Alhamisi

SERIKALI inatarajiwa kuwasilisha mapendekezo ya bajeti yake mwaka 2024/2025 wiki hii. Bajeti hiyo itakayosomwa Alhamisi na Waziri wa Fedha, Dk…

Soma Zaidi »

LATRA kusajili vikundi vya bodaboda

DODOMA: MAMLAKA ua Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imepewa jukumu la kusajili vikundi vya waendesha bodaboda nchini. Bunge limeelezwa. Maelezo hayo…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 500 kupewa nafasi vyuo vya wenye ulemavu

DODOMA; SERIKALI imesema mwaka 2024/2025 imepanga kupitia vyuo vyake vya watu wenye ulemavu kudahili wanafunzi 1500 kati yao wasio na…

Soma Zaidi »

Mazingira Kitulo yachelewesha pundamilia, swala kuongezeka

DODOMA; SERIKALI imesema wanyamapori waliohamishiwa Hifadhi ya Taifa ya Kitulo, wamechelewa kuzaliana kutokana na kubadili mazingira ya awali, lakini baada…

Soma Zaidi »

Ushirikiano TBS, ZBS waleta matokeo chanya

DODOMA; USHIRIKIANO kati ya Shirika la Viwango nchini (TBS) na lile linalosimamia viwango Zanzibar (ZBS), umeleta matokeo chanya kutatua changamoto…

Soma Zaidi »

Sh Bil 18 zahitajika kujenga mitaro Tabora

DODOMA: SERIKALI imesema kiasi cha Sh bilioni 18 kinahitajika kujenga mitaro mikubwa ili kukabiliana na mafuriko katika Mji wa Tabora.…

Soma Zaidi »

Wabunge: Gharama kuhamisha fedha benki, simu bado kubwa

DODOMA; KAMATI ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kufanya mapitio ya gharama za miamala kutoka mtandao mmoja wa simu kwenda…

Soma Zaidi »

Wabunge wataka matumizi fedha taslimu yapunguzwe

DODOMA; Wabunge wameitaka Serikali kuhimiza kupunguza matumizi ya fedha taslimu, kwani ni moja ya changamoto ya ukusanyaji kodi. Kauli hiyo…

Soma Zaidi »

Leseni mpya 1,126 kutolewa michezo ya kubahatisha

DODOMA. BODI ya Michezo ya Kubahatisha nchini imepanga kutoa leseni 12,456 katika mwaka wa fedha 2024/25. Bunge limeelezwa. Akiwasilisha bungeni…

Soma Zaidi »
Back to top button