Bunge

Raia nchi 71 ruksa kuingia Tanzania bila viza

DODOMA; RAIA wa nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia Tanzania, Bunge limeelezwa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dunstan Kitandula ametoa…

Soma Zaidi »

Serikali yaeleza mpango kukabili majanga ya moto

DODOMA; SERIKALI imesema mpango wake ni kusambaza magari ya zimamoto na uokoaji kwa wilaya zote nchini kwa ajili ya kukabiliana…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji CAG aagizwe akague Saccos ya Polisi

DODOMA; MBUNGE wa Ndanda, Cecil Mwambe ameuliza swali bungeni kwa ni Serikali isiagize Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za…

Soma Zaidi »

Sheria Bima ya Afya kwa wote kuanza 2025/26

DODOMA; WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utaanza kwenye bajeti ya…

Soma Zaidi »

‘Tutapambana kuhakikisha mifumo hospitali isomane’

WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema wizara yake itapambana kuhakikisha mifumo ya vipimo vinavyofanywa kwa wagonjwa visomane katika hospitali zote…

Soma Zaidi »

Mbunge ahoji mkakati afya bure kama ilivyo elimu

DODOMA; MBUNGE wa Donge, Soud Mohammed Jumah, amehoji bungeni, serikali ina  mkakati gani kuweka huduma za afya bure kama ilivyo…

Soma Zaidi »

Serikali: Jukumu la kupandisha vyeo watumishi ni la mwajiri

DODOMA; SERIKALI imesema jukumu la kuwapandisha vyeo watumishi ni la mwajiri husika. Kauli hiyo imetolewa leo bungeni na Naibu Waziri…

Soma Zaidi »

Shule 20,509 za msingi zina vyanzo vya maji vya uhakika

DODOMA; SERIKALI imesema kuwa shule 5,311 za Sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika, huku pia shue  20,509 za msingi…

Soma Zaidi »

NIMR yaja na utafiti wenye virusi vya Ukimwi, kisukari

DODOMA; TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR), imeendelea na utafiti wa kuzuia ugonjwa wa kisukari, ambapo…

Soma Zaidi »

Wagonjwa wa kisukari wapungua

TAKWIMU za utafiti na ufuatiliaji wa viashiria hatarishi vya magonjwa yasiyoambukiza uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa…

Soma Zaidi »
Back to top button