Siasa

Samia: Ni ilani ya ushindi, inatekelezeka

RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya Uchaguzi Mkuu mwaka 2025 imeshiba, ni ya ushindi,…

Soma Zaidi »

Kazi na dawa mkutano CCM

  DODOMA; Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akifurahia burudani ya muziki…

Soma Zaidi »

SMZ yajivunia kuacha alama utekelezaji wa ilani

SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema imeweka alama kwa Wazanzibari katika utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha…

Soma Zaidi »

Utekelezaji ilani CCM wapaisha uchumi, wakuza pato la taifa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema utekelezaji wa Ilani yake ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025 umeimarisha uchumi na kuongeza ukuaji wa…

Soma Zaidi »

Dodoma kumenoga

DODOMA; Baadhi ya wajumbe na waalikwa mbalimbali wakifuatilia Mkutano Mkuu wa CCM jijini Dodoma.

Soma Zaidi »

CCM yaja kivingine, mikutano sasa kidijiti

DODOMA; CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) leo kinazindua ilani yake 2025-2030 kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu. Mwenyekiti…

Soma Zaidi »

Waalikwa vyama rafiki wakifuatilia mkutano CCM

DODOMA; Waalikwa mbalimbali,kutoka vyama rafiki wa CCM wakishiriki na kufuatilia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) leo Mei 30,…

Soma Zaidi »

Tanzania, Finland kuboresha ujasiriamali nchini

DAR ES SALAAM: UBALOZI wa Finland nchini umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuongeza umuhimu wa matumizi ya mifumo ya…

Soma Zaidi »

Mkutano Mkuu CCM kuanza leo

MKUTANO Mkuu Maalumu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) unaanza leo Dodoma. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na wajumbe takribani 2,000 katika…

Soma Zaidi »

Rushwa ya ngono isiruhusiwe kutesa wanawake katika uchaguzi

BADO takribani miezi minne Watanzania wakutane katika vituo vya kupigia kura kufaidi uhondo wa demokrasia katika mfumo wa siasa za…

Soma Zaidi »
Back to top button