Siasa

Chongolo awatoa hofu watanzania katiba mpya

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ametua mkoani Iringa kwa kishindo huku akiwatoa hofu watanzania kuhusu katiba…

Soma Zaidi »

Msisitizo upimaji ardhi Bunge likipitisha bajeti ya Sh bil 171.4

 BUNGE limeridhia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya Sh biliioni 171.4…

Soma Zaidi »

Mongella ataka viongozi wanyenyekevu

MWANASIASA mkongwe nchini, Balozi Getrude Mongella amewataka viongozi wawe wanyenyekevu kwa wenzao na wananchi wanaowaongoza. Pia Mongella amewasihi viongozi wazingatie…

Soma Zaidi »

Serikali yaja na ‘dawa’ watumishi wanaohama

SERIKALI imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kutoidhinisha maombi ya kuhama yanayowasilishwa na watumishi wapya wanaopangiwa vituo vyao vya kazi katika maeneo…

Soma Zaidi »

Wamachinga wanaorejea maeneo yasio rasmi waonywa

HALMASHAURI ya Manispaa ya Iringa imesema hakuna namna wafanyabiashara ndogo (Wamachinga) walioondolewa katika maeneo yasiyo rasmi mjini Iringa wataachwa warudi…

Soma Zaidi »

Mwenge waonya wananchi uharibifu vyanzo vya maji

KIONGOZI  wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Abdalla Shaibu Kaim amewaonya wananchi kutofanya shughuli yoyote ikiwemo kilimo na ufungaji…

Soma Zaidi »

‘Ni bajeti ya kutatua migogoro, umilikishaji ardhi’

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Dk Angeline Mabula amewasilisha liidhinishe kiasi cha Sh bilioni 171.4 ili…

Soma Zaidi »

Jina la Kijiji Mpigamiti gumzo bungeni

Baada ya kumalizika kipindi cha Maswali na Majibu bungeni leo asubuhi, ndipo Mbunge wa jimbo Sikonge George Kakunda alipoomba mwongozo,…

Soma Zaidi »

Waziri: Ajira serikalini ni vigezo, hakuna upendeleo

Serikali imesisitiza kuwa haitoi ajira kwa kuzingatia maeneo kwani kila mwombaji wa kazi zinazotangazwa Serikalini huchukuliwa kuwa ana haki sawa.…

Soma Zaidi »

IFRC kuanzishwa nchini

SERIKALI ipo mbioni kuanzisha ofisi za Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu (International Federation of Red Cross and Crescent –…

Soma Zaidi »
Back to top button